Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

Nandi alisema harusi ilitakiwa kuwa April na Ruge alikufa January kama sijakosea.
Halafu Nandy anakwambia kwambia penzi lao lina miaka sita, ila wanawake Mungu anawaona ujue, kwenye hela huwa hamuangaliagi true love.

Nenga kinyonge akakubali kuwa kidumu daaaaah
 
Halafu Nandy anakwambia kwambia penzi lao lina miaka sita, ila wanawake Mungu anawaona ujue, kwenye hela huwa hamuangaliagi true love.

Nenga kinyonge akakubali kuwa kidumu daaaaah
😂😂😂😂
 
200,000 screenshot msg yangu kabisaaaa
Demi hiyo robo ya ada ya yule kid wa nurse ujue. Bado 1 tuu najikawamua na robo ya kwanza. Chini ya PGO no#7 unajua km umehaidi mbele ya kadamnasi mama.
 
Kama bil nas hajakwends nae kupima itskuwa amekosea.
Ila naamini bill nas ni mtu mzima na akili zake lazma atakuwa amefanya hayo maamuzi.hawezi kukurupuka tu wakati ameshasikia tetesi
Ni kwl..Ila inataka moyo wa chuma kuamini kwamba alitembea na jamaa kavu kavu na yeye hakupata maambukizi.
 
Kama bil nas hajakwends nae kupima itskuwa amekosea.
Ila naamini bill nas ni mtu mzima na akili zake lazma atakuwa amefanya hayo maamuzi.hawezi kukurupuka tu wakati ameshasikia tetesi
Kama kuna kipindi condom ipo chumbani lakini unaona ipo mbali,
Itakuwa kwenda kupima mkuu?

Hakuna kupima hapo,,ni kuishi kwa matumaini Tu.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Nampenda Sana Nandy, nadhani ndo mwanamke mzuri kuliko wote Tanzania kwa mtazamo wangu.Hongere kijana Billnass
Kwakuwa unampenda lazma awe mwanamke mzuri kuliko wote ila trust me kuna pisi kuliko nandy
 
Kwa kuwa ni watu maarufu sana ili kuifanya siku yao ya ndoa iwe kubwa kulingana na hadhi yao , napendekeza siku hiyo wamwalike mwanamziki nguli na konki KOFI OLOMIDE aje kuitia nakshk siku hiyo
 
Demi hiyo robo ya ada ya yule kid wa nurse ujue. Bado 1 tuu najikawamua na robo ya kwanza. Chini ya PGO no#7 unajua km umehaidi mbele ya kadamnasi mama.
Yaani usijali. Baada ya miaka 5 nitafute
 
Ila nyie watu sijui ni wivu au nn,kama ni hivyo basi hao baby mamas wa Ruge wote Wana Ngoma,kuanzia Zama,Yule mke WA Romyjones na wengine,khaaa acheni wivu bn
 
Kwakuwa unampenda lazma awe mwanamke mzuri kuliko wote ila trust me kuna pisi kuliko nandy
Kwangu Mimi Sasa,kwa taarifa yako Nandy ni zaidi ya Yeyote,hata huyo Cleopatra hamfikii Nandy.Yaani Nandy dah basi tu,sitakagi hata kumuwaza maana naumia Sana. Ni mwanamke wa moyo wangu.
 
Back
Top Bottom