Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

Basi Chain itakuwa Ni kubwa mno,hadi yule wa mabango kuona kasitirika sna Mzee wa Subaru mabwePande
 
Aiseee....dunia itasimama kwa hiyo harusiii

Ova
 
Kapo pendwa kunako Bongo Fleva, Billnass au Nenga na Nandy ‘The African Princess’ wanatarajia kufunga ndoa Juni 25, mwaka huu.

Hiyo ni kwa mujibu wa Baba wa Nandy, Charles Mfinanga alipokuwa akizungumza mara baada ya hapo jana Billnass kumvisha Nandy pete ya uchumba.

Utakumbuka hiyo ni mara ya pili kwa wawili hao kufanya hivyo, mara ya kwanza ilikuwa Aprili, 2020.

Hadi sasa katika muziki Nandy na Billnass wamefanikiwa kutoa nyimbo tatu pamoja, Bugana, Do Me na Party.

Huyu mchaga amepania kuchukua Mali za nandy, inabidi waandikishane kabisa kwamba hizo Mali hazitahusika na Bili Nanasi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie hapana kwa kweli,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe sijakuzoea hivi, umepata rafiki mpya anakifundisha roho mbaya ee..?
 
Nampenda Sana Nandy, nadhani ndo mwanamke mzuri kuliko wote Tanzania kwa mtazamo wangu.Hongere kijana Billnass
Weeee weeee ni nini uliona....? Lile li pichu lilikuchanganya?

Lakini ni mtazamo wako

Mrs. Balvejmumt embu uje akulinganisha aone [emoji849]
 
Back
Top Bottom