JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Nandy anadai penzi lao lina miaka zaidi ya sita,ila Nenga ana moyo au sijui aliona kitonga akaamua azibe masikio aseleleke nacho.Boss Ruge angekua hai hili lingetoke. Hongera zao nyingi
Pamoja na kashfa ya ngoma jamaa yupo tu kakomaaNandy anadai penzi lao lina miaka zaidi ya sita,ila Nenga ana moyo au sijui aliona kitonga akaamua azibe masikio aseleleke nacho.
Kama Alipiga Magoti Kwa Mara Pili Ipo ShidaNakazia [emoji23] Alimvisha pete kwa kupiga goti
HaaPamoja na kashfa ya ngoma jamaa yupo tu kakomaa
Mnatumia vigezo gani kumpima mtu kuwa ni muathirika?Pamoja na kashfa ya ngoma jamaa yupo tu kakomaa
😄😃😀😁😁 Lazima Hili Lisipite Hivi HiviWale team wataachana tu naomba tukutane backstage kwa majadiliano.😃😃
Aisee tatizo hiliKama Alipiga Magoti Kwa Mara Pili Ipo Shida
Hapo umeongea. Kwenye uchumba mnakua na fear of losing ila mkioana imeisha iyoMapenzi bwana mnaeza mkadumu kwenye uchumba miaka hata saba ila kwenye ndoa mwaka mmoja visa kibao na ni mara chache sana ndoa za wasanii kwa wasanii kudumu ila mungu awatangulie.