Tetesi: Harusi ya Ruge na Zamaradi iko tayari, imepewa jina la Harusi ya Watu

haa haa asante msaga sumu kwa kupatanisha hawa watu wawili..
 

Tutafurahi pia wakituwekea Vyeti vyao vya kupima VVU / UKIMWI kwani wakitufanyia hilo watakuwa wametusaidia sana tutakaozamia katika hiyo Harusi yao.
 
Duh hadi sasa bado page ya piki, itabidi wamuite Simba aka Chibu aka mume wa Zari atumbuize ili iwe harusi ya watu.
 
Ya kwetu lini?

Halafu tuipe jina gani?

Harusi ya JF au Harusi ya USA baby?

Tuwaalike nani na nani? Tuifanyie wapi? Mhunze au South Beach, Miami?

😀
Teh Teh napendekeza ipewe jina la USA baby..
 
ikiwa harusi classic kama ya Nancy sumari hapo ntawakubali
 
Mleta mada atakuwa anapenda kuchekesha sana
 
Ya kwetu lini?

Halafu tuipe jina gani?

Harusi ya JF au Harusi ya USA baby?

Tuwaalike nani na nani? Tuifanyie wapi? Mhunze au South Beach, Miami?

😀

Ya kwetu tuifanyie Uwanja wa taifa ,Muhunze hapawezi kutosha
Tuiite USA baby
Au unaonaje
 
Ni poa sana tusubiri mambo mazuri
 
mhh hiyo harus itakuwa ya kawaida sana kwan md kapitia vipara sana mjengon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…