Tetesi: Harusi ya Ruge na Zamaradi iko tayari, imepewa jina la Harusi ya Watu

Tetesi: Harusi ya Ruge na Zamaradi iko tayari, imepewa jina la Harusi ya Watu

Mmmh labda Mchungaji aruke kile kipengele cha pingamizi maana mtaani kuna wahanga wengi wa harusi hii! Ambulence ziwe standby
Haahahha ndo nlichokuwa nasubiria kukisoma hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ambulance ziwe mlangoni kabisa
 
Tutafurahi pia wakituwekea Vyeti vyao vya kupima VVU / UKIMWI kwani wakitufanyia hilo watakuwa wametusaidia sana tutakaozamia katika hiyo Harusi yao.
Nlisikiaga mke wa boss ruge mtarajiwa Anaishi kwa matumaini.ila sijapataga ukweli jalisi
 
He who call [emoji336] the sound pay the ……… . let him score
mkuu hata kama ndio mtoto kukupenda, ila sio kwa hii style yako aisee.............
Happy-Fathers-Day-BellaNaija.png
 
Harusi ya mbwembwe nyiiiiingi na mshazalishana watoto wa 2
 
Ruge ni mhaya na hizi ndio tabia zao majigambo matupu.


Kuna mwingine huko mjengoni alisema milioni 7 ni hela ya mboga..

Hata hivyo wapo sana mwananyamala
 
Ruge mutahaba.. ni bingwa wa biashara ya burudani tanzania..
digrii yake ya masoko aliyoipata san diego state university usa.. mwanzoni mwa miaka ya 90 ameitendea haki sana.. maana toka alivyotua bongo baada ya kumaliza chuo ni mafanikio tu

hajawai kuomba ajira kwa mtu toka ametoka chuo zaidi ya kuungana na mwenzake kusaga na kujiajiri kwa mafanikio makubwa sana...
Ruge mutahaba tatizo lake ni moja tu mapenzi na kazi..
ukiacha hilo pungufu lake jamaa ni kichwa sana kwenye kuongoza kampuni ya burudani...

angalia clouds ya miaka ya 90 clouds disco..
angalia mfumo wake wa uongozi utamkubali huyu mhaya noma
unga unawaboost
 
Mkurugenzi na mtangazaji kutoka redio ya watu wako tayari kabisa kufunga harusi siku yoyote kuanzia wiki ijayo. Harusi hiyo iliyopewa jina la harusi ya watu inatarajiwa kuwa kubwa Tanzania kuliko harusi yoyote ile tokea tupate uhuru.

Mmoja wa wanakamati wa harusi hiyo amedai harusi hiyo itafanyika katika sehemu nne tofauti kwa wakati mmoja,alizitaja sehemu hizo kuwa ni Bukoba, Tanga, Mjengoni Mikocheni na Ukumbini.

Wageni kutoka sehemu tatu wataunganishwa moja kwa moja na wale wa ukumbini kupitia sophisticated technology inayoitwa virtual reality (VR). Mwanakamati huyo alidai wageni hao watavaa VR gears na hivyo kuungana moja kwa moja na wageni wengine kutoka Dar na hivyo kuweza kufanya vitu kadhaa kama vile wako ukumbini.Baadhi ya vitu hivyo ni kama kutoa zawadi ,kushikana mikono na maharusi, kucheza mziki na vitu vingine kadhaa.

Ukubwa wa harusi hiyo unafananishwa na harusi mbili zilizoahirishwa dakika za mwisho, moja ikiwa ya mnyange Sepetu na Simba au ile ya Baharia aliyowachangisha waarabu wanaomiliki sheli na super moguls kadhaa kabla ya kuamua kuendelea kuwa single maana umri ulikuwa bado unaruhusu.

Tunawatakia kila la heri katika maisha yao ya ndoa.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom