beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]katika harusi zilizoahirishwa dakika za majeruhi sitaisahau harusi ya viki kamata..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]katika harusi zilizoahirishwa dakika za majeruhi sitaisahau harusi ya viki kamata..
Haahahha ndo nlichokuwa nasubiria kukisoma hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ambulance ziwe mlangoni kabisaMmmh labda Mchungaji aruke kile kipengele cha pingamizi maana mtaani kuna wahanga wengi wa harusi hii! Ambulence ziwe standby
Nlisikiaga mke wa boss ruge mtarajiwa Anaishi kwa matumaini.ila sijapataga ukweli jalisiTutafurahi pia wakituwekea Vyeti vyao vya kupima VVU / UKIMWI kwani wakitufanyia hilo watakuwa wametusaidia sana tutakaozamia katika hiyo Harusi yao.
Nlisikiaga mke wa boss ruge mtarajiwa Anaishi kwa matumaini.ila sijapataga ukweli jalisi
mkuu hata kama ndio mtoto kukupenda, ila sio kwa hii style yako aisee.............He who call [emoji336] the sound pay the ……… . let him score
na tuombe Mungu aoe!!wasiishie njianiKwani jamaa alikuwa ajaoa??
Nlisikiaga mke wa boss ruge mtarajiwa Anaishi kwa matumaini.ila sijapataga ukweli jalisi
unga unawaboostRuge mutahaba.. ni bingwa wa biashara ya burudani tanzania..
digrii yake ya masoko aliyoipata san diego state university usa.. mwanzoni mwa miaka ya 90 ameitendea haki sana.. maana toka alivyotua bongo baada ya kumaliza chuo ni mafanikio tu
hajawai kuomba ajira kwa mtu toka ametoka chuo zaidi ya kuungana na mwenzake kusaga na kujiajiri kwa mafanikio makubwa sana...
Ruge mutahaba tatizo lake ni moja tu mapenzi na kazi..
ukiacha hilo pungufu lake jamaa ni kichwa sana kwenye kuongoza kampuni ya burudani...
angalia clouds ya miaka ya 90 clouds disco..
angalia mfumo wake wa uongozi utamkubali huyu mhaya noma
Kweli,nyanya mbichi na ukizingatia dunia yetu ya leohujafa hujaumbika
poa....! kwani kunatatizo...??Sawa nini sasa wewe jamaa vipi??
VR ndo nini mkuu wengine washamba hatujuiKwa hio watu watashikana mikono kwwnye VR
Ipelekeni mwamanota mkuu!!Ya kwetu lini?
Halafu tuipe jina gani?
Harusi ya JF au Harusi ya USA baby?
Tuwaalike nani na nani? Tuifanyie wapi? Mhunze au South Beach, Miami?
😀
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkurugenzi na mtangazaji kutoka redio ya watu wako tayari kabisa kufunga harusi siku yoyote kuanzia wiki ijayo. Harusi hiyo iliyopewa jina la harusi ya watu inatarajiwa kuwa kubwa Tanzania kuliko harusi yoyote ile tokea tupate uhuru.
Mmoja wa wanakamati wa harusi hiyo amedai harusi hiyo itafanyika katika sehemu nne tofauti kwa wakati mmoja,alizitaja sehemu hizo kuwa ni Bukoba, Tanga, Mjengoni Mikocheni na Ukumbini.
Wageni kutoka sehemu tatu wataunganishwa moja kwa moja na wale wa ukumbini kupitia sophisticated technology inayoitwa virtual reality (VR). Mwanakamati huyo alidai wageni hao watavaa VR gears na hivyo kuungana moja kwa moja na wageni wengine kutoka Dar na hivyo kuweza kufanya vitu kadhaa kama vile wako ukumbini.Baadhi ya vitu hivyo ni kama kutoa zawadi ,kushikana mikono na maharusi, kucheza mziki na vitu vingine kadhaa.
Ukubwa wa harusi hiyo unafananishwa na harusi mbili zilizoahirishwa dakika za mwisho, moja ikiwa ya mnyange Sepetu na Simba au ile ya Baharia aliyowachangisha waarabu wanaomiliki sheli na super moguls kadhaa kabla ya kuamua kuendelea kuwa single maana umri ulikuwa bado unaruhusu.
Tunawatakia kila la heri katika maisha yao ya ndoa.