Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sio mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haa haa asante msaga sumu kwa kupatanisha hawa watu wawili..Dah! Kuna mtu ameniudhi hapa tulikuwa tumekaa kimya kama mabubu hapa huku kila mtu akitumia simu yake, sasa nilipopitia huu uzi nimejikuta nacheka kwa sauti hasa hapo kwenye harusi zilizoahirishwa dakika za majeruhi, na hatimaye tumejikuta tumepatana na tunaongea. Ahsante sana MSAGA SUMU.
Mkurugenzi na mtangazaji kutoka redio ya watu wako tayari kabisa kufunga harusi siku yoyote kuanzia wiki ijayo. Harusi hiyo iliyopewa jina la harusi ya watu inatarajiwa kuwa kubwa Tanzania kuliko harusi yoyote ile tokea tupate uhuru.
Mmoja wa wanakamati wa harusi hiyo amedai harusi hiyo itafanyika katika sehemu nne tofauti kwa wakati mmoja,alizitaja sehemu hizo kuwa ni Bukoba, Tanga, Mjengoni Mikocheni na Ukumbini.
Wageni kutoka sehemu tatu wataunganishwa moja kwa moja na wale wa ukumbini kupitia sophisticated technology inayoitwa virtual reality (VR). Mwanakamati huyo alidai wageni hao watavaa VR gears na hivyo kuungana moja kwa moja na wageni wengine kutoka Dar na hivyo kuweza kufanya vitu kadhaa kama vile wako ukumbini.Baadhi ya vitu hivyo ni kama kutoa zawadi ,kushikana mikono na maharusi, kucheza mziki na vitu vingine kadhaa.
Ukubwa wa harusi hiyo unafananishwa na harusi mbili zilizoahirishwa dakika za mwisho, moja ikiwa ya mnyange Sepetu na Simba au ile ya Baharia aliyowachangisha waarabu wanaomiliki sheli na super moguls kadhaa kabla ya kuamua kuendelea kuwa single maana umri ulikuwa bado unaruhusu.
Tunawatakia kila la heri katika maisha yao ya ndoa.
Teh Teh napendekeza ipewe jina la USA baby..Ya kwetu lini?
Halafu tuipe jina gani?
Harusi ya JF au Harusi ya USA baby?
Tuwaalike nani na nani? Tuifanyie wapi? Mhunze au South Beach, Miami?
😀
Hahaha...noma sanakatika harusi zilizoahirishwa dakika za majeruhi sitaisahau harusi ya viki kamata..
Una maanisha nini hapa.nasikia yule shoga aliyehojiwa kwenye takeone ndo atakuwa Matron wa bibi harusi
Hahaha jamaa ni hatari sana...Hahahah...Jamaa nahisi atakuwa na shahada ya juu ya habari na mawasiliano
Sawa.....!
Ya kwetu lini?
Halafu tuipe jina gani?
Harusi ya JF au Harusi ya USA baby?
Tuwaalike nani na nani? Tuifanyie wapi? Mhunze au South Beach, Miami?
😀
Ni poa sana tusubiri mambo mazuriMkurugenzi na mtangazaji kutoka redio ya watu wako tayari kabisa kufunga harusi siku yoyote kuanzia wiki ijayo. Harusi hiyo iliyopewa jina la harusi ya watu inatarajiwa kuwa kubwa Tanzania kuliko harusi yoyote ile tokea tupate uhuru.