Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

Jk atakuwa kauchuna hajachanga,,nyapu yake inapata mpangaji.
 
Waafrika wengi hatuna akili timamu, nchi ya kimaskini, shule ovyo, barabara na hospitali na kitu cha hivyo kinatokea, kisa 'ni pesa zake'? Tanzania hatuna serikali
 
Ni mil 96 au USD 96,000 ..mbona ni hela ya kawaida sana hiyo???? mi dogo wangu majuzi alifunga ndoa ya 54m na ni mtu wa kawaida kabisa..Desemba mwaka jana mtoto wa jirani yangu alifunga ndoa kwa gharama ya Tsh 110m na huwezi hata kufikiri kwamba ni ya gharama hiyo..kha!..nafikiri aliyeleta habari hii ni limbukeni kabisa...
 
Waafrika wengi hatuna akili timamu, nchi ya kimaskini, shule ovyo, barabara na hospitali na kitu cha hivyo kinatokea, kisa 'ni pesa zake'? Tanzania hatuna serikali

Mkuu mbona hela ya kawaida tu hiyo, isitoshe yeye ni mbunge, amechangisha kwa wabunge na wafanya biashara na vigogo, unaweza kukuta hajatoa hata hela yake, kuna wafanya biashara wanafanya hizo harusi wala siyo wana siasa ninaowajua mimi.
 
Kwa dunia ya sasa mil 96 sio hela. Bora angekuwa simple tu bila angekuwa wa maana.
Zuckerberg pamoja na ubilionea wake amefunga ndoa nyuma ya nyumba yake.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Maskini Mpaka-way wa Amina kongoro angekuwepo Angelia sana kuona kipikio kinachukuliwa hivi huku aligharamia sana hasa kwenye mahotel ya majuu.

daaaah!!
Baada ya kurudia kusoma mara tatu ndio nimeelewa
 
Nilithani kuna kitu cha ajabu sana lakini hata sijaona, kwani mamilioni ya pesa yanamaanisha nini kwenye ndoa, watu tumeoa kwa mahari ya laki moja na nusu na sherehe ya harusi iligharimu shilingi laaki sita, nipo na mke wangu na tuna watoto wanne tunaishi kwa furaha sana kila siku

Well say mkuu....marriage is not about popularity wala utajiri.
Besides that ni uendawazimu kunywesha watu pombe kwa tsh 96 mil wakati nchini wamejaa wahitaji wengi hasa watoto Yatima.
 
Mkuu mbona hela ya kawaida tu hiyo, isitoshe yeye ni mbunge, amechangisha kwa wabunge na wafanya biashara na vigogo, unaweza kukuta hajatoa hata hela yake, kuna wafanya biashara wanafanya hizo harusi wala siyo wana siasa ninaowajua mimi.

spending 96mil for marrying a pro-prostitute unasema ni kawaida sana!!
 
Mimi nashangaa, kama hili nalo ni la kutupotezea muda. Kuoana waoane wao, halafu iwe topic kwetu!
 
spending 96mil for marrying a pro-prostitute unasema ni kawaida sana!!

Hata kama ata cancel hiyo harusi unafikiri hizo pesa atawapa?
Itafikia siku mtu atakuwa faragha condom itapasuka atairaumu ccm. Poleni sana, kwanini hamkuhuji babu na mchumba wake wameenda Marekani kisha Israel hizo pesa ni za nani wakati matawi ya chama kuna njaa ruzuku haifiki?
 
Itapendeza pia iwapo hata maisha ktk ndoa yataendaana na ukubwa wa sherehe (i.e. gharama ya harusi kubwa ipelekee kuwa na maisha ya raha na marefu ktk ndoa)
 
Ufike wakati hata hii michango ya harusi ikatwe kodi........

Bonge la point maana ikiitishwa harambee ya madawati hatuchangii ila michango ya harusi na kuringishiana dhahabu hata za kuazima hatujambo!!!
 
Back
Top Bottom