Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jk atakuwa kauchuna hajachanga,,nyapu yake inapata mpangaji.
hivi una uhakika na unayo yasema?Jk atakuwa kauchuna hajachanga,,nyapu yake inapata mpangaji.
Waafrika wengi hatuna akili timamu, nchi ya kimaskini, shule ovyo, barabara na hospitali na kitu cha hivyo kinatokea, kisa 'ni pesa zake'? Tanzania hatuna serikali
huyu ni mbunge wa vitu maalum, labda ni kiongozi wako, mimi big no.
Maskini Mpaka-way wa Amina kongoro angekuwepo Angelia sana kuona kipikio kinachukuliwa hivi huku aligharamia sana hasa kwenye mahotel ya majuu.
Waafrika wengi hatuna akili timamu, nchi ya kimaskini, shule ovyo, barabara na hospitali na kitu cha hivyo kinatokea, kisa 'ni pesa zake'? Tanzania hatuna serikali
Nilithani kuna kitu cha ajabu sana lakini hata sijaona, kwani mamilioni ya pesa yanamaanisha nini kwenye ndoa, watu tumeoa kwa mahari ya laki moja na nusu na sherehe ya harusi iligharimu shilingi laaki sita, nipo na mke wangu na tuna watoto wanne tunaishi kwa furaha sana kila siku
Mkuu mbona hela ya kawaida tu hiyo, isitoshe yeye ni mbunge, amechangisha kwa wabunge na wafanya biashara na vigogo, unaweza kukuta hajatoa hata hela yake, kuna wafanya biashara wanafanya hizo harusi wala siyo wana siasa ninaowajua mimi.
spending 96mil for marrying a pro-prostitute unasema ni kawaida sana!!
spending 96mil for marrying a pro-prostitute unasema ni kawaida sana!!
Ufike wakati hata hii michango ya harusi ikatwe kodi........