Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

Hata kama ata cancel hiyo harusi unafikiri hizo pesa atawapa?
Itafikia siku mtu atakuwa faragha condom itapasuka atairaumu ccm. Poleni sana, kwanini hamkuhuji babu na mchumba wake wameenda Marekani kisha Israel hizo pesa ni za nani wakati matawi ya chama kuna njaa ruzuku haifiki?

issue ni harusi ya watu wawili....stick to that point. uharo uliouhara hata haueleweki..k.enge wewe
 
Hivi huyu vicky kamata ndo yule alopelekea babu sea na wanawe kuwekwa ndani?

Rich Pol anaweza kulijibu hili manake kwa post yake isiyoeleweka anaonekana ana uchungu sana. Lakini uwe mwangalifu anaweza akatukana.

Hata kama ata cancel hiyo harusi unafikiri hizo pesa atawapa?
Itafikia siku mtu atakuwa faragha condom itapasuka atairaumu ccm. Poleni sana, kwanini hamkuhuji babu na mchumba wake wameenda Marekani kisha Israel hizo pesa ni za nani wakati matawi ya chama kuna njaa ruzuku haifiki?
 
issue ni harusi ya watu wawili....stick to that point. uharo uliouhara hata haueleweki..k.enge wewe

Kawaida mimi huwa siongei na utingo yoyote, ila nitakujibu.
Hili suala ni lake binafsi hata kama kachangiwa na mabwana zake, kwanini mnalichukulia kisiasa? Anahusika nini na madawati ya shule kwa hela zake binafsi, huo ni wivu wa kike badirikeni idiot!!.
 
mmemtarifu kama mjini kuna ugonjwa wa dengue... !?
na mmwambie aje na neti apulizie na dawa ya ngao.!?
 
Tuweekeew na picha.ya Mtoto wake nikuonyeshe kitu
 
Ni mil 96 au USD 96,000 ..mbona ni hela ya kawaida sana hiyo???? mi dogo wangu majuzi alifunga ndoa ya 54m na ni mtu wa kawaida kabisa..Desemba mwaka jana mtoto wa jirani yangu alifunga ndoa kwa gharama ya Tsh 110m na huwezi hata kufikiri kwamba ni ya gharama hiyo..kha!..nafikiri aliyeleta habari hii ni limbukeni kabisa...

Elezea wanaachana linii ama kushaanzafukuta??
 
spending 96mil for marrying a pro-prostitute unasema ni kawaida sana!!

Hizo ndude zingekuwa zinarecord majina nahisi loh Bwanaharusi aka jamaa anaweza akawakaandikwa kwenye kucha chini
 
ni kwel mdau nakumbuka hii harusi,na Mwantumu Mahiza ndo alikuwa chui somo wa bi haruc ,ikapraganyika bwana haruc eti anadai "kwanza tumekutana kupitia mtandaoni" enzi hzo majangaaaaaaaaaaaaaa

Ni kweli kabisa mkuu,,,Hussein alikuwa masomoni Marekani ila huyu jamaa ndg yetu ndio ana matatizo sana kaharibika sana hata ukimuangalia siku hizi ila dada wa watu MashaAllah ametulia afu mtu wa dini. Kifupi ni majanga tu
 
Mbona kawaida sana kwa status yake!!!!!!!?????
Mshahara wake kwa mwezi shilingi ngapi!!!????
Bunge la katiba kapiga ngapi!!!???
Hili la bajeti anapiga ngapi!!!????


Uswazi huku tunakamua mpaka za 40M na wachangiaji ni watu wa kawaida tu hawana social credo kama wanaomzunguka huyo bi harusi....

good point sir, hata mimi mwenye nguruwe mia hamsini nikiwauza kwa bei ya soko tunaenda nae sawa mbali na michango mingine, na yeye imemkost manake kwa jamaa yuleeee wa zamani hakutumiaga kondom,pole bwana harusi,hujapata,umepatikana,anyway hongera coz hata yule askofu wa shy(r.i.p) alishatumbukiza mpaka akaimbiwa na wimbo,i hope nawe utaimbiwa uwe maarufu
 
Kawaida mimi huwa siongei na utingo yoyote, ila nitakujibu.
Hili suala ni lake binafsi hata kama kachangiwa na mabwana zake, kwanini mnalichukulia kisiasa? Anahusika nini na madawati ya shule kwa hela zake binafsi, huo ni wivu wa kike badirikeni idiot!!.

amewahi kabla awamu ya nne haijaisha ili apate feva ya m_u-kulu
 
Mamaaaa s atakuwa an amajibu sahihii

mama s atafurahi coz mpinzani wake anapigwa pingu za maisha,tuombe ziwe pingu za chuma si barafu,kufuga kunguru hata wahenga walishindwa
 
Mimi mwanandugu, VK ni kama mwanangu( shangazi yake VK). Ni mambo ya kawaida sana kwetu, hata watotoyatima, wajane, madawati huwa tunatoa- ila tu wandishi wa habari hawapendikuandika mazuri.
Kweli kupanga nikuchagua na wengine huchagua kufungia ndoa Manzese hotel, huo ndo uwezo wao, mwingine huishia kanisani hata soda ‘’ntoho’’ na Mungu anawabariki pia, ndoainadumu.
Another serious note; hii siyo ya kifahari- bali ni kasherehe kadogo ya kuwapongeza vijana wetu kwa maamuzi mazuri waliofanya, ni kabudget ni around USD 75,000


shangazi muwekee na LUKU hapo kati vinginevyo gonjwa lsilo tiba halitakwisha, aliwekee reservation kwa huyo muhanga wake
 
Teh teh teh

Hapo unaweza kukuta bibi harusi kajitolea mwenyewe mahari!!

Chezea 'kuondoa nuksi weye'!!

"Haijalishi umeingia kupitia mlango gani,hata kama ulipitia dirishani,what matters umo ndani"

dah!!! humo ndai sasa vumbi likitulia, kama si busara mtu aatokea dirishani tena
 
Photo ya mumewe tafadhali na photo za watoto wake plz.
 
My d,
Nakubaliana na wewe kabisa.
Omba mungu wewe au ndugu yako yeyote asije kupata ndoa isiyo na mtoto.
Acha kabisa my d!

najua my d! ila napataga tabu sana hasa wanaume wanapowasimanga wanawake ajil ya kutokupata watoto na unakuta wkt mwingn mwanaume ndo anamatatizo.kupma hatak dah
 
Back
Top Bottom