Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ata cancel hiyo harusi unafikiri hizo pesa atawapa?
Itafikia siku mtu atakuwa faragha condom itapasuka atairaumu ccm. Poleni sana, kwanini hamkuhuji babu na mchumba wake wameenda Marekani kisha Israel hizo pesa ni za nani wakati matawi ya chama kuna njaa ruzuku haifiki?
Hivi huyu vicky kamata ndo yule alopelekea babu sea na wanawe kuwekwa ndani?
Hata kama ata cancel hiyo harusi unafikiri hizo pesa atawapa?
Itafikia siku mtu atakuwa faragha condom itapasuka atairaumu ccm. Poleni sana, kwanini hamkuhuji babu na mchumba wake wameenda Marekani kisha Israel hizo pesa ni za nani wakati matawi ya chama kuna njaa ruzuku haifiki?
issue ni harusi ya watu wawili....stick to that point. uharo uliouhara hata haueleweki..k.enge wewe
Ni mil 96 au USD 96,000 ..mbona ni hela ya kawaida sana hiyo???? mi dogo wangu majuzi alifunga ndoa ya 54m na ni mtu wa kawaida kabisa..Desemba mwaka jana mtoto wa jirani yangu alifunga ndoa kwa gharama ya Tsh 110m na huwezi hata kufikiri kwamba ni ya gharama hiyo..kha!..nafikiri aliyeleta habari hii ni limbukeni kabisa...
JK atakuwa kachangia kiasi gani..
spending 96mil for marrying a pro-prostitute unasema ni kawaida sana!!
Hivi huyu vicky kamata ndo yule alopelekea babu sea na wanawe kuwekwa ndani?
ni kwel mdau nakumbuka hii harusi,na Mwantumu Mahiza ndo alikuwa chui somo wa bi haruc ,ikapraganyika bwana haruc eti anadai "kwanza tumekutana kupitia mtandaoni" enzi hzo majangaaaaaaaaaaaaaa
Mbona kawaida sana kwa status yake!!!!!!!?????
Mshahara wake kwa mwezi shilingi ngapi!!!????
Bunge la katiba kapiga ngapi!!!???
Hili la bajeti anapiga ngapi!!!????
Uswazi huku tunakamua mpaka za 40M na wachangiaji ni watu wa kawaida tu hawana social credo kama wanaomzunguka huyo bi harusi....
Hizo ndude zingekuwa zinarecord majina nahisi loh Bwanaharusi aka jamaa anaweza akawakaandikwa kwenye kucha chini
Kawaida mimi huwa siongei na utingo yoyote, ila nitakujibu.
Hili suala ni lake binafsi hata kama kachangiwa na mabwana zake, kwanini mnalichukulia kisiasa? Anahusika nini na madawati ya shule kwa hela zake binafsi, huo ni wivu wa kike badirikeni idiot!!.
Mamaaaa s atakuwa an amajibu sahihii
Mimi mwanandugu, VK ni kama mwanangu( shangazi yake VK). Ni mambo ya kawaida sana kwetu, hata watotoyatima, wajane, madawati huwa tunatoa- ila tu wandishi wa habari hawapendikuandika mazuri.
Kweli kupanga nikuchagua na wengine huchagua kufungia ndoa Manzese hotel, huo ndo uwezo wao, mwingine huishia kanisani hata soda ntoho na Mungu anawabariki pia, ndoainadumu.
Another serious note; hii siyo ya kifahari- bali ni kasherehe kadogo ya kuwapongeza vijana wetu kwa maamuzi mazuri waliofanya, ni kabudget ni around USD 75,000
Teh teh teh
Hapo unaweza kukuta bibi harusi kajitolea mwenyewe mahari!!
Chezea 'kuondoa nuksi weye'!!
"Haijalishi umeingia kupitia mlango gani,hata kama ulipitia dirishani,what matters umo ndani"
My d,
Nakubaliana na wewe kabisa.
Omba mungu wewe au ndugu yako yeyote asije kupata ndoa isiyo na mtoto.
Acha kabisa my d!