Harusi za dar na kuku za siku 10

Hivi nyie mnao andaa sherehe za harusi hapa dar ,kwa nn mnapenda kutulisha kuku za siku 10 , ???

Unakula kuku laini kama samaki mchanga ,

Jifunzeni basi ,,,mbina nyie mkija huku mikoani tuna waandalia kuku wa kitanzania

Mnaboa !!!!
hao ndo kuku wa kizungu
 
Unalishwa kuku wa siku 10 wakati mchango wa harusi ni kuanzia 100,000/= dadeki. Ifike mahala tuwe na standards kwa kweli. Kila mtu utasikia single elf 50 double lak 1 halafu ukumbini unapewa kuku wa week 2 na beer 😉😉
 
Hivi hujawazoea jogoo wa dar ni lege lege kama wanaume wa dar
 
Ushamba mzigo kumbe mnachunguza mpaka test ya kuku
 
Dar hili mnakera mchango laki 1 halafu vikuku vilaini kama Uono. Na kuongea msifikiri hatujui tunawastahi tu bi harusi asikukimbie haraka.
 
Dar es salaam kila kitu ni ujanja ujanja, anzia magengeni tunalishwa taka taka nyingi mno, maharusini ndio kabisaa alafu kule huwa wanaweka oda kuilisha harusi nzima,
Hapo ndipo uchakachuzi hufanyika.. juzi nilikuwa kwenye sherehe kiukweli kuku na nyama tuliolishwa nilistukia yaani haina radha kabisa,

USHUHUDA
Nilitoka kwetu mikoani enzi zile nikiwa na afya njema, sasa kutokana na majukumu mengi nikawa nakula magengeni, nilikula kwa mwaka mzima,
Kilicho nikuta sitakisahau niliugua macho, miguu, masikio halafuu nilikonda balaaa,

Nilienda pale CCBRT kutibiwa macho nikapigwa dozi ya miezi mitatu wala siakupona, nikaenda sinza, mwananyamala kote sikufanikiwa kupona,

Mwishoni nilikutana na daktari mmoja kutoka pale muhimbili , huyu ndiye aliye niponyesha tatizo ilikuwa ni upungufu wa VIRUTUBISHO MWILINI alinipa dawa na ushauri .
Nilipona na namshukuru sana yule mama mungu ambariki .

USHAURI
Usipende sana kula magengeni na maharusini mara kwa mara hapa dsm.
 
mwanaume wa dar akila kuku wa kienyeji mwenye afya kutoka huku kwetu mikoani anang'ooka meno
Hahahahaha wee jamaa umenichekesha sana..!!
Wapumzisheni sasa wanaume wetu mnawasema sanaaa..
 
hapana ni wa wiki sita kamili shida inakuja kila kwenye makaburi wameweka ukuta hatuwezitena kupata mifupa kama zamani.
 
mwanaume wa dar akila kuku wa kienyeji mwenye afya kutoka huku kwetu mikoani anang'ooka meno
Duuuu umenifany nichek kweny daladala loh et Angola meno ukipat kuk anatoka umalila ni hatr jogooo jogoo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…