Harusi za uswahilini na make up zao

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
2,886
Reaction score
9,088
Mnakamia sana make up hadi mnageuka kituko. Mnasiliba mno hadi inakuwa kituko.

[emoji38][emoji38][emoji38]

Shogangu sawa humudu make up ya kisasa, si utafute tu hata poda ya kuendana na ngozi yako palaza kiasi,paka lip balm na wanja kiasi basi

Ama make up unayo unamudu il a huna ujuzi wa kumechisha hata foundation, powder, na vingine na rangi yako tafuta mjuzi

Mtu mweusii unaenda tu unaokota foundation ya rangi ya mweupe kwanini isiwe kituko.

 
😂😂😂😂 et hasa hii dini ya mnyazi😂😂😂😂
 
Macho kama kinyonga hakika ni hatari kuna muda make up zinawaharibu mpaka mnaanza kufanana na mizuka.
 
Hivyo vituko, ndo Raha ya uswahilini sasaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…