Harusi za uswahilini na make up zao

Harusi za uswahilini na make up zao

Haswa hizi za dini ya mtume
Mnakamia sana make up hadi mnageuka kituko..
Mnasiliba mno hadi inakuwa kituko
[emoji38][emoji38][emoji38]

Shogangu sawa humudu make up ya kisasa,si utafute tu hata poda ya kuendana na ngozi yako palaza kiasi,paka lip balm na wanja kiasi basi

Ama make up unayo unamudu il a huna ujuzi wa kumechisha hata foundation, powder, na vingine na rangi yako tafuta mjuzi

Mtu mweusii unaenda tu unaokota foundation ya rangi ya mweupe kwanini isiwe kituko.

View attachment 2753330
Wewe na ukoo wako wapi na lini mlijua ustraabu wa vipodozi na manukato?
Mpaka miaka ya karibuni hamjui manukato ni nini. Mnalala na kuku na uvundo wa samaki. Usafi wa mwili zero, kunguni na chawa mpaka utosini.
Uliza au tafiti hao unao watukana hapa lini wameanza usafi wa mwili na kuvaa nguo safi na kujiremba.
 
utafikiri harusi za misukule.
 
Kumekucha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata sijui huwa wanawaza nini hawa watu hadi wanajiremba kama vibwengo namna hiyo. ukutane na mtu kama huyo usiku, si utasema kibwengo
 
Wewe na ukoo wako wapi na lini mlijua ustraabu wa vipodozi na manukato?
Mpaka miaka ya karibuni hamjui manukato ni nini. Mnalala na kuku na uvundo wa samaki. Usafi wa mwili zero, kunguni na chawa mpaka utosini.
Uliza au tafiti hao unao watukana hapa lini wameanza usafi wa mwili na kuvaa nguo safi na kujiremba.
Mwarabu si ndio kakuletea huo ustaarabu au?
 
Back
Top Bottom