The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Huyo alipigwa talaka na mwislamu kwa kuchepuka kwake,sasa ameolewa na kafiri mwenzake ndio amekuja kujitangaza hapa.๐๐๐๐ et hasa hii dini ya mnyazi๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo alipigwa talaka na mwislamu kwa kuchepuka kwake,sasa ameolewa na kafiri mwenzake ndio amekuja kujitangaza hapa.๐๐๐๐ et hasa hii dini ya mnyazi๐๐๐๐
Hana picha? utani kumkashifu huyo kwenye picha? utani kukashifu imani za wengine? hivi una akili timamu kweli wewe?Mamangu ni marehemu na hausiki hapa mpenzi.sijaingiza mzazi wa mtu
Na huu ni utani
Jiangalie
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani..jamaniiiAngalau kaolewa,wewe gumegume umeshindikana,kwa herufi kubwa ACHA WIVU..
Wewe pimbi hili ni jukwaa la utani? unaleta utani kwa kukashifu imani za watu? kwa nini usiseme kua huyo ni kafiri mwenzako?Jamani..jamaniii
Huu ni utani mbona mko hivi?
Mnawaza kugombana mda wote
[emoji849][emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona utaka tujibizane.sikujibu na sina mda huo [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Hana picha? utani kumkashifu huyo kwenye picha? utani kukashifu imani za wengine? hivi una akili timamu kweli wewe?
Endelea kugongwa bure hapo kitaani kisha wajuba wanakutema kama Big GNaona utaka tujibizane.sikujibu na sina mda huo [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kama imekuumiza pole kunywa maji mengi
Mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana na waumini wa mnyazi wameshatia kambi, unalo๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNaona utaka tujibizane.sikujibu na sina mda huo [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kama imekuumiza pole kunywa maji mengi
Mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwangu mimi ndoa isingekuwepo mpaka akaoge tena nijue nafunga ndoa na nani manake hapo kapoteza identity
Mbona yamenikutaa[emoji38]Pambana na waumini wa mnyazi wameshatia kambi, unalo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu unachochea kuni...mi sijaongelea upande wa dini nkasema zaidi upande fulani ndo nawashiwa moto..Kwamba dini inaruhusu kujipodoa[emoji1][emoji1]Tupe andiko?
Tunakesha na rusha roho,vigodoro usiku mpaka asubuhi...sherehe inakuwa sherehe.hakuna kujibanaUswahikini raha Sana, hakuna kadi Wala nini, unajialika, unakula ubwabwa halafu unaangalia mdundiko na mijimama ikimwaga radhi.
boss una mihemko sana,una tatizo kamwone daktariEndelea kugongwa bure hapo kitaani kisha wajuba wanakutema kama Big G
Ukikosea tu unalo[emoji38][emoji38][emoji38]Mambo ya FAUNDESHENI hayo.[emoji1787]
Acha kujipendekeza wewe.boss una mihemko sana,una tatizo kamwone daktari