Harusi za uswahilini na make up zao

Wewe na ukoo wako wapi na lini mlijua ustraabu wa vipodozi na manukato?
Mpaka miaka ya karibuni hamjui manukato ni nini. Mnalala na kuku na uvundo wa samaki. Usafi wa mwili zero, kunguni na chawa mpaka utosini.
Uliza au tafiti hao unao watukana hapa lini wameanza usafi wa mwili na kuvaa nguo safi na kujiremba.
 
utafikiri harusi za misukule.
 
Kumekucha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata sijui huwa wanawaza nini hawa watu hadi wanajiremba kama vibwengo namna hiyo. ukutane na mtu kama huyo usiku, si utasema kibwengo
 
Mwarabu si ndio kakuletea huo ustaarabu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…