Hasa akina Dada hili Jambo si sawa Jamani tunatafutiana tu sababu za kuonana wabaya n.k chonde chonde sisi wengine zinatuathiri sana tu

Watu wembamba wanaanika michupi mikuubwa Kama Gaguro, Huu si Uchawi huu.
#Anika funika na Kanga😎
 
Mi nikiona chupi ya dem hamu ya kula inaisha niliwahi kuvizia hamna mtu nje nikaenda kuzianua na kijiti kirefu nikazitupa kwenye takataka
 
Yaani chupi tu umepagawa,hivi ushawahi kukaa uswahili kipindi hiko maji ya mgao,wanategemea mvua ili wakinge na mabeseni yao.

Sasa ndio uwaone, wapo na kanga bila chupi kanga zimelowana maji,achaaa kabisa sasa zile nena rudi za kujaza pipa........hatari.
 
Hii si sawa kuanika nguo za ndani kwa mtindo huu njia nzuri ni kuchukua nguo nyepes mfano kanga unafunika kwa juu then unaibana zikaukie hapo, wanaonika hivyo naona hawajithamini.
 
Hii si sawa kuanika nguo za ndani kwa mtindo huu njia nzuri ni kuchukua nguo nyepes mfano kanga unafunika kwa juu then unaibana zikaukie hapo, wanaonika hivyo naona hawajithamini.
Mkuu hizo haziitwi nguo za ndani,zinaaitwa "Mifuniko ya vyungu vya mboga"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…