Hasara 10 na faida 5 za kuchepuka katika ndoa

Hasara 10 na faida 5 za kuchepuka katika ndoa

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,633
Kila jambo lina pande mbili, upande wa uzuri na upande wa ubaya, lakini katika kufanya maamuzi basi ni vyema kuegemea upande wenye mazuri zaidi kuliko mabaya.

Kuchepuka ni aina nyingine ya usaliti anaoufanya mtu kwa mpenzi wake, japo wahenga walinena acha michepuko baki njia kuu, michupeku hutokea katika nyanja zote za mahusiano, kuanzia kwenye uchumba hadi kwenye ndoa, sababu huwa ni nyingi ambazo hupelekea mwanaume au mwanamke kufanya usaliti, japo kiwango hitofautiana..

Sasa katika kuchepuka huwa kuna mambo mengi yanayoibuka, tuangalie faida na hasara za kuchepuka, ni katika kujifunza ili kuchagua njia iliyobora, na kuacha kujisahau.

HASARA
1. Kuambukizwa Magonjwa ya zinaa kama kinga haitatumika.
2. Kusahau au kuacha kabisa kuhudumia familia na kumuhudumia mchepuko, wapo waume za watu wanaishi nyumba za kupanga na familia zao la wamewajengea nyumba michepuko yao, au wengine wamewanunulia magari michepuko yao huku mke wke akiwa anahangaika na madaladala.

3. Kuishi kwa hofu na mpenzi wako kwani nafsi inakusuta na hofu ya siri yako ya mchepuko kuvuja.
4. Gharama zitapanda kugaramikia Familia na mchepuko.
5. Kukosa muda na familia yako

6. Kutokua huru na mpenzi wako kwani kuna kitu anaficha, na utakua hauko huru na Simu yako.
7. Kua mkali/kuboreka na familia kwani atahisi wanakubana usijiachie na mchepuko.
8. Kutokua huru kutoka na Familia hususani kama Mchepuko utakua jirani.

9. Kukwepa ibaada kwani Dhamila inakuhukumu.
10. Kutofurahi unyumba na Mpenzi wako hasa akiwa anazidiwa ufundi na Mchepuko na ndio hivyo Mara nyingi.

tapatalk_1564222397524.jpeg

FAIDA
1. Inapunguza msongo wa mawazo hasa kama wpenzi wako hakujali.
2. Inadumisha mahususiano kwani inapunguza wivu wa kijinga hasa kama wote mnachepuka.
3. Inaleta uvumilivu kwenye mapenzi huwezi kumuhukumu mpenzi wako harakaharaka kwani na wewe hauko Sawa
4. Kupata vionjo mbalimbali kwani michepuko huwa inajituma sana.
5. Inaongeza Mori wa kazi hasa kama mchepuko wako upo Hapo kazini.

IMG-20190103-WA0011.jpg
 
Attachments

  • tapatalk_1564222397524.jpeg
    tapatalk_1564222397524.jpeg
    48.8 KB · Views: 10
  • IMG-20190103-WA0011.jpg
    IMG-20190103-WA0011.jpg
    17.1 KB · Views: 14
Hakuna kitu kinaua ndoa kama michepuko!
Laiti wanaume mngejua ni jinsi gani mnaumiza hisia za wake zenu mkichepuka msingefanya hivyo hata kidogo!ukweli ni kwamba wengi wanavumilia au tunavumilia kwasababu tu ya kipato manake unawaza ukiondoka utawaleaje watoto!Ila wengi mapenzi kwa waume zao yashakufa zamani kwasababu ya michepuko
 
Dadda Elena sijataja jinsia maana ndoa ina jinsia mbili
 
Hakuna kitu kinaua ndoa kama michepuko!
Laiti wanaume mngejua ni jinsi gani mnaumiza hisia za wake zenu mkichepuka msingefanya hivyo hata kidogo!ukweli ni kwamba wengi wanavumilia au tunavumilia kwasababu tu ya kipato manake unawaza ukiondoka utawaleaje watoto!Ila wengi mapenzi kwa waume zao yashakufa zamani kwasababu ya michepuko
sio kwamba nafagilia kuchepuka....la hasha......Je umewahi kujiuliza wapi umevuruga?...au anafuata nini huko ambacho hapati kwangu?..au mimi sio mrembo tena?? au nina kauli za kumbughuzi na kumkatisha tamaa.....??? au labda ni HAYAWANI/KAHABA....je hukuyajua hayo before......??? mwanaume ndie anapaswa kumpenda mwanamke/mkewe......mwanamke anapaswa kumheshimu mwanaume/mmewe....
 
Back
Top Bottom