Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Kenge mwenyewe, kwani mwanamke ana moyo wa chuma? Wewe nenda huko ukizani kwako kupo salama wanakulindiaKenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenge mwenyewe, kwani mwanamke ana moyo wa chuma? Wewe nenda huko ukizani kwako kupo salama wanakulindiaKenge
Wabovu ndivyo walivyo, mwishowe anafika ukutaniMbona umekuwa mkali shehe.
Kuna wanaume hata ufanye hayo yote watachepuka tusio kwamba nafagilia kuchepuka....la hasha......Je umewahi kujiuliza wapi umevuruga?...au anafuata nini huko ambacho hapati kwangu?..au mimi sio mrembo tena?? au nina kauli za kumbughuzi na kumkatisha tamaa.....??? au labda ni HAYAWANI/KAHABA....je hukuyajua hayo before......??? mwanaume ndie anapaswa kumpenda mwanamke/mkewe......mwanamke anapaswa kumheshimu mwanaume/mmewe....
[emoji23][emoji23][emoji23] hamna basi tu tumegongana leo tuMhh, mnajuana mkuu we na mwenzako
Mende mkubwa weweKenge mwenyewe, kwani mwanamke ana moyo wa chuma? Wewe nenda huko ukizani kwako kupo salama wanakulindia
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti yeye anajijua ni shetani lakini anataka kuoa malaika, kakwambia nani shetani atamuoa shetani, na malaika vile, unajiuliza unataka mke mwenye tabia nzuri wewe unazo? yaani mie hubaki hoiKuna wanaume hata ufanye hayo yote watachepuka tu
Mnachoshindwa kujiongeza ni kuwa hata mwanamke ni binadamu na ana udhaifu wake pia
Asa nyie mnataka mtu awe safi bila kasoro yoyote
Nadhani wa hivo atakua tu mama yako mzazi ndo ambae atalolisema kwako ni sheria
Mkuu upo upande upi mbona wanikandia!Si ni WIN-WIN SITUATION Mkuu
Kuna wanaume hata ufanye hayo yote watachepuka tu
Mnachoshindwa kujiongeza ni kuwa hata mwanamke ni binadamu na ana udhaifu wake pia
Asa nyie mnataka mtu awe safi bila kasoro yoyote
Nadhani wa hivo atakua tu mama yako mzazi ndo ambae atalolisema kwako ni sheria
Huyo nnaebishana nae ni me au ke maana simuelewi..😅Hapana mkuu mimi sina upande, nimesema mpatane maisha yasonge
Umeongea kwa hisia sanaaa. Ni ujinga kiukweliKuchepuka Ni ujinga.