Kwanini utuhumiwe mkuu?? kuna dalili zinaonekana live, mkeo kaziona ndomana hakuaminiPrinciple yangu moja tu, I will never cheat my wife, though haniamin na ananituhumu kila siku..kwa vile sifanyi nina amani ya moyo na sijali anavyosema, siku nkigundua ananisaliti anarudi kwao, full stop
Sent using Jamii Forums mobile app
yna4Kuchepuka Ni ujinga.
Siryna4