HASARA ambayo Dunia Ingeipata kama Ingeendelea kuamini Dunia Sio Tufe bali ni FLAT

HASARA ambayo Dunia Ingeipata kama Ingeendelea kuamini Dunia Sio Tufe bali ni FLAT

Asha ujinga sayansi sio vuguvugu ni ukweli tu .Mimi ni mwanasayasi hakuna mwanasayansi anayesubutu kusema dunia ni flat katika miaka hii ,kwa sababu hata hiyo internet unayotumia inatumia seteliti ambayo emetegwa kulingana na umbo la Dunia .Hakuna ubishi wa huo ujinga katika dunia ya leo usipotoshe uma
http://disinfo.com/2015/07/flat-earth-vs-globe-earth-debate/


Online Debate: Scientific evidence overwellmingly supports a flat earth | Debate.org
mkuu hakuna faida kukukudanganya, ila hivi vitu ni halisia huko duniani. sijajua kwa nini sayansi yako kwa nini hadi leo haijakutana na hawa jamaa
 
Hiyo bendera ya UN kuwa na dunia iliyo flat ni logic ndogo tuu kujua kwa nini ipo hivyo..SIDHANI KAMA WANGEWEKA UMBO LA DUARA ALAFU BARA LA AMERICA AU ULAYA LISINGEONEKANA KWENYE HIYO NEMBO YA CHOMBO MUHIM DUNIANI SIDHANI KAMA WANGEKUBALI WALIFANYA HIVYO ILI MABARA YOTE YAONEKANE
 
Kuwa na chuki na watu au kundi fulani ni mbaya sana,lakini ni mbaya zaidi kama unawachukia watu bila kuwa na nguvu ya hoja,wanaoamini kuwa dunia ni flat ni wengi mno hebu nenda kawaone hapa.Tena wengi wao ni wamarekani.

There Is a Massive Conspiracy to Hide the Fact That the Earth Is Flat*
Sina chuki na mtu yoyote hao wanao sema dunia ni flat ni wanaharakati wa kidini wakiongozwa na dubay ,hawana hoja za kisayansi hata moja kila wanacho jalibu kueleza hakina ukweli .
 
Swali kwa wana sayansi wetu humu; baada ya kuskia kuwa dunia haizunguki wala kusafiri bali ipo still nilijipa task ya kuobserve nyota na nilimark kama tatu kuona zinabadilika kila siku ama la, nakuhakikishia kwa miezi mitano sasa kila cku naziona hizo nyota hapa dar. Kwanini?
 
Huu ubishi ulikuwepo zamani sana miaka ya 1600 ,lakini sasa hivi sayansi imepiga hatua sana huwezi ukaleta ubichi huu watu watakushangaa sana kwasababu kila kitu kinaonekana kwa macho kwa kutumia vifaa vya kisayansi .Hao watu wanaosema Dunia ni flat ni kundi la Dini ya Kislamu kwa kuwa qurani imeandika Dunia ni flat cha ajabu wanatumia hoja za miaka ya 1600 ambazo zilioneka za uwongo baada ya wanasayansi kugundua vifaa mbalimbali. Eti wanatete dini.

Wanasayasi hawajadili huo ujinga tena sasahivi wanawaza kwenda kwenye sayari nyingine.
Bokoharamu ni moja ya vikundi vya dini vinavyodai Dunia ni flat.

Sawa we ni Mwanasayansi heb nambie ni wap kwenye Quran wameandika dunia ni flat, Quran co gazet au kitabu cha Sayansi bali Quran ina tafsir yake halisi na lugha ya kiarabu ina kanun na mpangilio wake ambao ni tofaut na kanun na mpangilio wa kwenye Quran.
Acha chuki na imani za wengne, mwanasayansi kama ww kukaa kumulika iman flani ni kuishiwa mbinu, njoo na hoja zako za kisayans
 
Mkuu ni kweli kabisa kuna mambo yanahitaji kuchunguzwa kwa undani sana,

kuna mtu anaitwa Deception hapa ndani nilikuta michango yake sehemu moja akidai kwamba ukimwi haupo,

watu walimshambulia sana lakini niliamua kufuatilia hiyo issue mpaka sasa na mimi naanza kuamin kweli UKIMWI haupo lakin zile dawa zitolewazo hospitali ndo zina shida
Mkuu nipe ka link juu ya iyo issue
 
Asha ujinga sayansi sio vuguvugu ni ukweli tu .Mimi ni mwanasayasi hakuna mwanasayansi anayesubutu kusema dunia ni flat katika miaka hii ,kwa sababu hata hiyo internet unayotumia inatumia seteliti ambayo emetegwa kulingana na umbo la Dunia .Hakuna ubishi wa huo ujinga katika dunia ya leo usipotoshe uma
Nimekuwa nikiuliza swali hivi
Kama dunia ni ya mviringo kama chungwa au tufe
Inamaa endapo kama tukapa vifaa vyenye uwezo wa kuchimba kabisa ilihali temperature ya near center ni 6000c, je kuna uwezekano wa kuchimba hapa na kutokea labda Alaska US?
Kama uchukuavyo sindano ukachoma chungwa na kutokea upande wa pili?
 
Hao wanaosema kuwa dunia ni flat kama meza waende huko mwisho wa dunia wakapige picha watuaminishe wanachoamini wao.

otherwise jamaa ni waongo na hawana lengo zuri.
 
mkuu hapa sijakuelewa kabisaaa[emoji33][emoji33][emoji33]

Huwez kuniamin mkuu nenda youtube google HIV FRAUD itakuletea video moja ya masaa kama mawili then utajua nasema nn

Angalizo usiende kavukavu kwa kufuata video ile ile i can see the reality
 
Nchi inakabiliwa na njaa, ukame na maswala ya uchochezi kama utakuwa unakikosoa chama Fulani na mwenyekiti wake, Je huu mjadala wa dunia tambarare/ duara unatusaidia nini sisi? Wenye shibe waache watusaidie, sisi tusubiri majibu kutoka kwa walioshiba
 
Huu ubishi ulikuwepo zamani sana miaka ya 1600 ,lakini sasa hivi sayansi imepiga hatua sana huwezi ukaleta ubichi huu watu watakushangaa sana kwasababu kila kitu kinaonekana kwa macho kwa kutumia vifaa vya kisayansi .Hao watu wanaosema Dunia ni flat ni kundi la Dini ya Kislamu kwa kuwa qurani imeandika Dunia ni flat cha ajabu wanatumia hoja za miaka ya 1600 ambazo zilioneka za uwongo baada ya wanasayansi kugundua vifaa mbalimbali. Eti wanatete dini.

Wanasayasi hawajadili huo ujinga tena sasahivi wanawaza kwenda kwenye sayari nyingine.
Bokoharamu ni moja ya vikundi vya dini vinavyodai Dunia ni flat.
Majitu mengine bwana yameshaingiza udini haya tuthibitishie Qur'an imesema hivyo sura ya ngapi aya ya ngapi na ukishindwa we we ni muongo mnafiki
 
Dhana za aristotle zilikuwa proven wrong practically na nyingine zingerudisha nyuma kabisa harakati za physics kama wafuasi wake wasingedhibitiwa kwa ushahidi na Galileo.
Mfano, Katika Moja ya dhana zisizo sahihi za aristotle kuwa vitu viwili vyenye uzito tofauti vikidondoshwa vitatua kwa speed tofauti. Galileo alikusanya watu Wakaangusha two bodies with different masses at Pisa tower na practically aristotle na wafuasi wake wakawa proven wrong maana vilitua kwa pamoja.
Scientifically huwezi kusimama na kusema VVU ni uongo, Inabidi uthibitishe kwa facts zisizotiliwa shaka. Pili utueleze wanaokufa kwa upungufu wa kinga nini kinatokea.

Karibu mkuu
Mkuu uko sahihi kabisa additional Galileo alifanya iyo experiment at pisa tower haikumpa results nzuri mana kiuhalisia Gravity ni constanst katika bodies regardless mass ya hizo body Only katika Vacuum ila kama sio vacuum, the light one body will fall down slowly compare to heavy the reason behind is air resistance will not be the same for those bodies
 
Japokuwa asilimia kubwa ya dunia tunaamini Dunia yetu ni kama TUFE, bado wako wengi na huku JF wanaendelea na Kampeni kuwa wenda Dunia ni Flat kama meza ya duara.Na kuna chama duniani Flat Earth Society kinachotimia mabilioni ya pesa kushawishi dunia nadharia hii.

un.png

Kujua sio suala dogo hata bendera ya Umoja wa Mataifa dunia imewakilishwa kwa nadhalia ya Flat earth hadi kesho haijulikani ni kwa malengo ya nani au walitaka kumaanisha nini.

Katika kipindi cha zamani ambacho watu wengi wakiongozwa na wasomi wa kigiriki waliamini Dunia ni Flat kulikuwa na Uvumbuzi mchache sana katika karibu nyanja zote.Imani hii ilisimamisha Maendeleo ya Sayansi na technologia Duniani maana iliongeza Hofu kwa jamii.

Edge-2.jpg
flat_world_dragon_6206.jpg

Watu waliogopa kama wakisafiri baharini watafika ukingoni na waanguke. Ukweli huu kuwa dunia ni kama tufe baada ya kugundulika,

1:Jamii ikaanza kuichunguza dunia kwa upeo mpya.
2:Safari za majini zikashamiri na ilipelekea maeneo mengi duniani kufahamika.
3:Biashara zikashamiri kutoka kona moja ya dunia kwenda upande mwingine. hata vasco da gamma akapata nguvu ya kwenda india kutafuta viungo kupitia afrika.
4:Mawazo na Ideas mpya za sayansi na Mahesabu zikaanza kushirikishwa kati ya watu mbalimbali wa dunia na kusababisha kuchochea spidi ya maendeleo ya dunia.


Masahihisho madogo katika fikra ongo za mwanadamu yakasababisha dunia ikapiga maendeleo ya kasi ya ajabu.

FUNDISHO;
Katika maisha nadhalia nyingi zinaweza kuwa ni za uongo au nusu ukweli na zikawa na madhara makubwa sana katika jamii.Miaka ishirini baada ya Uvumbuzi wa Darubini/Microscope, Wavumbuzi wa kiholanzi Akiwepo na Zacharias Jansen na Hans Lippershey (Baada ya kuwachunguza watoto wake waliokuwa wakichezea lenzi) wakavumbua kifaa walichokiita "Kifaa cha kuonea vitu vya mbali kana kwamba vipo karibu" au TELESCOPE. Muitaliano Galileo Galilei alikiboresha kifaa hicho na kikawa na uwezo wa kuona mbali mara kumi zaidi. Mwezi wa kwanza mwaka 1610, Galileo aliweza kuona miezi ikizunguka sayari ya Jupiter iliyokuwa ikielea. Na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuwapa changamoto Wafuasi wa Mgiriki Aristotle ambaye Dhana zake potofu zilitapakaa ulaya nzima na hadi makanisani. Fikra za galileo zilizokuwa zikisindikizwa na Ushahidi ziliwaumbua waaristotle na Kuipindua Dunia ya Uvumbuzi na sayansi. Kuna haja ya kuyachunguza matatizo na changamoto zetu katika jamii zetu wenda chanzo cha changamoto nyingi zinaweza kuwa ni Ukweli nusu juu ya tunavyoviamini au mitazamo hasi tuliyorithishwa enzi na enzi.
Good
 
Dunia sio flat,wanao sema ni flat basi.wasibitishe.kwa.fact haswaa


Mie nakumbuka topic flan ya earths as a sphere

Mule tunasoma lattitude anda longitude na hzi scale ndizo zinatumika kuongoza ndege,meli nk

Sasa kama dunia flat,iweje ndege ambazo zinaongozwa kwa kutumia dunia km ni tufe zinafika sehem husika bila chenga

Wanasayansi wanafact kabisa

Kutoka na dunia kuwa kama tufe tunajua distance na time...


Wana muache porojo,wazungu wameleta dini na sayansi tuzitumie kwa kujiongeza pia
 
Back
Top Bottom