HASARA ambayo Dunia Ingeipata kama Ingeendelea kuamini Dunia Sio Tufe bali ni FLAT

HASARA ambayo Dunia Ingeipata kama Ingeendelea kuamini Dunia Sio Tufe bali ni FLAT

Asha ujinga sayansi sio vuguvugu ni ukweli tu .Mimi ni mwanasayasi hakuna mwanasayansi anayesubutu kusema dunia ni flat katika miaka hii ,kwa sababu hata hiyo internet unayotumia inatumia seteliti ambayo emetegwa kulingana na umbo la Dunia .Hakuna ubishi wa huo ujinga katika dunia ya leo usipotoshe uma
Hivi tanzania kuna mwanasayansi? Nimeuliza tu
 
Mtoa mada aende kituoni akahojiwe.. huenda anatumia
 
hao wanaoamini kuwa dunia ni flat watueleze usiku na mchana unaapatikanje?
 
Nami nina jambo naomba kuuliza.. Kwa hii dunia ilivyo naweza kutoka hapa Tz yaani Africa kuelekea bara la Asia kwa ndege na nikifika huko naendelea kwenda tu na mwisho nikajikuta nimetokea Africa tena ili kuthibitisha dunia ni duara?
inayozunguka ni Dunia sio ww kwani ukiwa ndani ya basi umekaa st ya nyuma waweza kujikuta umekaa st ya mbele bila ww kwenda kukaa sit hiyo jibu ni hakuna na hapohapo basi likiwa linatembe

Vivyo hivyo huwezi kutoka Afrika mpaka Asia na kujikuta tena ulipoanzia safari huo ndo ule ugunduzi wa miaka ya zamani wakati viona mbali hakuna kwa sas hakuna hilo
 
Swali kwa wana sayansi wetu humu; baada ya kuskia kuwa dunia haizunguki wala kusafiri bali ipo still nilijipa task ya kuobserve nyota na nilimark kama tatu kuona zinabadilika kila siku ama la, nakuhakikishia kwa miezi mitano sasa kila cku naziona hizo nyota hapa dar. Kwanini?
Kama nyota unazna hapahapa Dar je kwa nn pana ucku na mchana hujaliona hilo mkuu na je kupatwa kwa jua nako unliona jua limepatwa had leo febr au nani kalitoa niambie kama Dunia haizunguki bac pangekuwa mchana tu ww umeangalia nyota tu mkuu vingine hujaona
 
Nimekuwa nikiuliza swali hivi
Kama dunia ni ya mviringo kama chungwa au tufe
Inamaa endapo kama tukapa vifaa vyenye uwezo wa kuchimba kabisa ilihali temperature ya near center ni 6000c, je kuna uwezekano wa kuchimba hapa na kutokea labda Alaska US?
Kama uchukuavyo sindano ukachoma chungwa na kutokea upande wa pili?
Yeah utatokea upande wa pili yaani ktk utupu space ukiendelea sana utatoboa mars ukiendelea zaid utatoboa ktk planet nyingine na etc
 
Kama nyota unazna hapahapa Dar je kwa nn pana ucku na mchana hujaliona hilo mkuu na je kupatwa kwa jua nako unliona jua limepatwa had leo febr au nani kalitoa niambie kama Dunia haizunguki bac pangekuwa mchana tu ww umeangalia nyota tu mkuu vingine hujaona
Mkuu hapo umemjibu kama mwenyewe alivyouliza na kutaka kujua kweli? au mie ndiyo sijaelewa!
 
Back
Top Bottom