HASARA ambayo Dunia Ingeipata kama Ingeendelea kuamini Dunia Sio Tufe bali ni FLAT

http://disinfo.com/2015/07/flat-earth-vs-globe-earth-debate/
Online Debate: Scientific evidence overwellmingly supports a flat earth | Debate.org
mkuu hakuna faida kukukudanganya, ila hivi vitu ni halisia huko duniani. sijajua kwa nini sayansi yako kwa nini hadi leo haijakutana na hawa jamaa
 
Hiyo bendera ya UN kuwa na dunia iliyo flat ni logic ndogo tuu kujua kwa nini ipo hivyo..SIDHANI KAMA WANGEWEKA UMBO LA DUARA ALAFU BARA LA AMERICA AU ULAYA LISINGEONEKANA KWENYE HIYO NEMBO YA CHOMBO MUHIM DUNIANI SIDHANI KAMA WANGEKUBALI WALIFANYA HIVYO ILI MABARA YOTE YAONEKANE
 
Sina chuki na mtu yoyote hao wanao sema dunia ni flat ni wanaharakati wa kidini wakiongozwa na dubay ,hawana hoja za kisayansi hata moja kila wanacho jalibu kueleza hakina ukweli .
 
Swali kwa wana sayansi wetu humu; baada ya kuskia kuwa dunia haizunguki wala kusafiri bali ipo still nilijipa task ya kuobserve nyota na nilimark kama tatu kuona zinabadilika kila siku ama la, nakuhakikishia kwa miezi mitano sasa kila cku naziona hizo nyota hapa dar. Kwanini?
 

Sawa we ni Mwanasayansi heb nambie ni wap kwenye Quran wameandika dunia ni flat, Quran co gazet au kitabu cha Sayansi bali Quran ina tafsir yake halisi na lugha ya kiarabu ina kanun na mpangilio wake ambao ni tofaut na kanun na mpangilio wa kwenye Quran.
Acha chuki na imani za wengne, mwanasayansi kama ww kukaa kumulika iman flani ni kuishiwa mbinu, njoo na hoja zako za kisayans
 
Mkuu nipe ka link juu ya iyo issue
 
Nimekuwa nikiuliza swali hivi
Kama dunia ni ya mviringo kama chungwa au tufe
Inamaa endapo kama tukapa vifaa vyenye uwezo wa kuchimba kabisa ilihali temperature ya near center ni 6000c, je kuna uwezekano wa kuchimba hapa na kutokea labda Alaska US?
Kama uchukuavyo sindano ukachoma chungwa na kutokea upande wa pili?
 
Hao wanaosema kuwa dunia ni flat kama meza waende huko mwisho wa dunia wakapige picha watuaminishe wanachoamini wao.

otherwise jamaa ni waongo na hawana lengo zuri.
 
mkuu hapa sijakuelewa kabisaaa[emoji33][emoji33][emoji33]

Huwez kuniamin mkuu nenda youtube google HIV FRAUD itakuletea video moja ya masaa kama mawili then utajua nasema nn

Angalizo usiende kavukavu kwa kufuata video ile ile i can see the reality
 
Nchi inakabiliwa na njaa, ukame na maswala ya uchochezi kama utakuwa unakikosoa chama Fulani na mwenyekiti wake, Je huu mjadala wa dunia tambarare/ duara unatusaidia nini sisi? Wenye shibe waache watusaidie, sisi tusubiri majibu kutoka kwa walioshiba
 
Majitu mengine bwana yameshaingiza udini haya tuthibitishie Qur'an imesema hivyo sura ya ngapi aya ya ngapi na ukishindwa we we ni muongo mnafiki
 
Mkuu uko sahihi kabisa additional Galileo alifanya iyo experiment at pisa tower haikumpa results nzuri mana kiuhalisia Gravity ni constanst katika bodies regardless mass ya hizo body Only katika Vacuum ila kama sio vacuum, the light one body will fall down slowly compare to heavy the reason behind is air resistance will not be the same for those bodies
 
Good
 
Dunia sio flat,wanao sema ni flat basi.wasibitishe.kwa.fact haswaa


Mie nakumbuka topic flan ya earths as a sphere

Mule tunasoma lattitude anda longitude na hzi scale ndizo zinatumika kuongoza ndege,meli nk

Sasa kama dunia flat,iweje ndege ambazo zinaongozwa kwa kutumia dunia km ni tufe zinafika sehem husika bila chenga

Wanasayansi wanafact kabisa

Kutoka na dunia kuwa kama tufe tunajua distance na time...


Wana muache porojo,wazungu wameleta dini na sayansi tuzitumie kwa kujiongeza pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…