Hivi tanzania kuna mwanasayansi? Nimeuliza tuAsha ujinga sayansi sio vuguvugu ni ukweli tu .Mimi ni mwanasayasi hakuna mwanasayansi anayesubutu kusema dunia ni flat katika miaka hii ,kwa sababu hata hiyo internet unayotumia inatumia seteliti ambayo emetegwa kulingana na umbo la Dunia .Hakuna ubishi wa huo ujinga katika dunia ya leo usipotoshe uma
Dah! we acha tu,mtu anajisifu kuwa ni mwanasayansi ila haoni aibu kuleta udini humu.Hivi tanzania kuna mwanasayansi? Nimeuliza tu
inayozunguka ni Dunia sio ww kwani ukiwa ndani ya basi umekaa st ya nyuma waweza kujikuta umekaa st ya mbele bila ww kwenda kukaa sit hiyo jibu ni hakuna na hapohapo basi likiwa linatembeNami nina jambo naomba kuuliza.. Kwa hii dunia ilivyo naweza kutoka hapa Tz yaani Africa kuelekea bara la Asia kwa ndege na nikifika huko naendelea kwenda tu na mwisho nikajikuta nimetokea Africa tena ili kuthibitisha dunia ni duara?
Kama nyota unazna hapahapa Dar je kwa nn pana ucku na mchana hujaliona hilo mkuu na je kupatwa kwa jua nako unliona jua limepatwa had leo febr au nani kalitoa niambie kama Dunia haizunguki bac pangekuwa mchana tu ww umeangalia nyota tu mkuu vingine hujaonaSwali kwa wana sayansi wetu humu; baada ya kuskia kuwa dunia haizunguki wala kusafiri bali ipo still nilijipa task ya kuobserve nyota na nilimark kama tatu kuona zinabadilika kila siku ama la, nakuhakikishia kwa miezi mitano sasa kila cku naziona hizo nyota hapa dar. Kwanini?
Yeah utatokea upande wa pili yaani ktk utupu space ukiendelea sana utatoboa mars ukiendelea zaid utatoboa ktk planet nyingine na etcNimekuwa nikiuliza swali hivi
Kama dunia ni ya mviringo kama chungwa au tufe
Inamaa endapo kama tukapa vifaa vyenye uwezo wa kuchimba kabisa ilihali temperature ya near center ni 6000c, je kuna uwezekano wa kuchimba hapa na kutokea labda Alaska US?
Kama uchukuavyo sindano ukachoma chungwa na kutokea upande wa pili?
Mkuu hapo umemjibu kama mwenyewe alivyouliza na kutaka kujua kweli? au mie ndiyo sijaelewa!Kama nyota unazna hapahapa Dar je kwa nn pana ucku na mchana hujaliona hilo mkuu na je kupatwa kwa jua nako unliona jua limepatwa had leo febr au nani kalitoa niambie kama Dunia haizunguki bac pangekuwa mchana tu ww umeangalia nyota tu mkuu vingine hujaona