Hasara ya Fiesta....Dada anauza vifuatavyo kwa bei ya hasara mpigie simu kama unahitaji....

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,494
Habari zenu? Nina mtu namjua alikuwa na kibanda leo kwenye shuguli ya Firsta pale Leaders,kuku (100)bila kusahau nyama fillet ya mishkaki, utumbo supu ndizi mikungu ya kutosha. Kwa anayehitaji kwa bei ya hasara ampigie. Anaitwa Beatrice, Namba yake ni 0788 318 763 na 067 506 4205
 
Pole zake sana. Hapa hakuna plan B
 
Afande.... Salute kwako.
Nice sanaaa kwa Maelekezo
 
Pole sana cloudse media mimo kama shabiki mkubwa was fiesta nimeguswa sana
 

Siamini wewe mtetezi wa JPM unakuja na uzi wa KUSANDA.......

Wewe si ndio mtetezi wa SISIEMU? Hakuna cha Bitrisi wala nini,ni wewe mwenyewe unauza,ndio faida ya kushabikia SISIEMU.
 
i dont think so
Hiyo kitu imezuiliwa kwa sababu gani kwanza? Si kwa faida ya kukuza vipaji vya vijana na ukijua kuwa wanamziki karibu wote ni washajihihishaji wa CCM?
 
Nina uhakika hakuna dada unaemjua wa hivyo, ni msg inazunguka Whatsapp ukaamua kuileta huku. Wenye akili kuliko wewe hua wanamaliziaga na "C&P".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…