Hasara ya Fiesta....Dada anauza vifuatavyo kwa bei ya hasara mpigie simu kama unahitaji....

Hasara ya Fiesta....Dada anauza vifuatavyo kwa bei ya hasara mpigie simu kama unahitaji....

Tusilazimishe kufanya VURUGU ZETU kwa nia ya KUWAKERA WENGINE ,
Sehemu za wazi wanazoweza kukesha zipo nyingi tu
1. JANGWANI
2. CHANIKA
3. UWANJA WA TAIFA
4. CHAMAZI
5.
6.
7.
8.

Na issue ya KIBALI ni kuwa unaomba kwanza ndo unaanza maandalizi, sio unaanza maandalizi ndo unaomba kibali.... ukikosa unasukuma lawama kwa wengine
 
Nina uhakika hakuna dada unaemjua wa hivyo, ni msg inazunguka Whatsapp ukaamua kuileta huku. Wenye akili kuliko wewe hua wanamaliziaga na "C&P".
====
Shark una uhakika gani kuwa hao wa whatsapp hawajatoa kwake!?
 
Binafsi hiyo SMS nimeisoma jana, mpk kufikia Saa 2 usiku.... Nlishaisoma magroup ma3 tofauti!
Muda nlioiona hii MSG Whatsapp kwa mara ya kwanza,
v/s
Muda aliopost huyu Jamaa hapa JF
 
Tusilazimishe kufanya VURUGU ZETU kwa nia ya KUWAKERA WENGINE ,
Sehemu za wazi wanazoweza kukesha zipo nyingi tu
1. JANGWANI
2. CHANIKA
3. UWANJA WA TAIFA
4. CHAMAZI
5.
6.
7.
8.

Na issue ya KIBALI ni kuwa unaomba kwanza ndo unaanza maandalizi, sio unaanza maandalizi ndo unaomba kibali.... ukikosa unasukuma lawama kwa wengine
Ndo umeongea nn sasa,..kibali kilishatolewa ndo wakaanza maandalizi,..siku moja kabla ya tamasha eti kinafutwa
 
Iv kwa nini leaders wanapang'ang'ania clouds licha ya changamoto wanazokutana nazo kipindi hiki? Ni mazingira, ni rahisi kufikika or vipi? Kwa nini kwa mfano wasiende sehemu zingine labda kama huko kawe au waanze kupikgia uwanja wa taifa pale!!!
 
Ndiko uliko copy?
Uwe unasemaga basi,
Sio kujidai sijui unamjua, kumbe humjui lolote
umeiona namba ya simu katika taarifa ya Mwananchi......?
 
Duuh angejua angeipeleka mtwara maana mpaka kufikia saa 6 usiku best angu ananipigia kuwa kuku 700 aliowaandaa wameisha
 
Hii season sijui itaisha lini.
Maana awamu hii ya mkono ni hatari xana
 
Back
Top Bottom