cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Unatoa pole ya kinafki,mshauri bwanaako DAB aache mambo ya ajabu
Hongera kwa kuwa ndani ya ubongo wangu.
Unatoa pole ya kinafki,mshauri bwanaako DAB aache mambo ya ajabu
CHADEMA WAMESABABISHA YOTE HAYA COMRADEHabari zenu? Nina mtu namjua alikuwa na kibanda leo kwenye shuguli ya Firsta pale Leaders,kuku (100)bila kusahau nyama fillet ya mishkaki, utumbo supu ndizi mikungu ya kutosha. Kwa anayehitaji kwa bei ya hasara ampigie. Anaitwa Beatrice, Namba yake ni 0788 318 763 na 067 506 4205
Nunua wewe ambaye kila kukicha unaipongeza mamlaka.Habari zenu? Nina mtu namjua alikuwa na kibanda leo kwenye shuguli ya Firsta pale Leaders,kuku (100)bila kusahau nyama fillet ya mishkaki, utumbo supu ndizi mikungu ya kutosha. Kwa anayehitaji kwa bei ya hasara ampigie. Anaitwa Beatrice, Namba yake ni 0788 318 763 na 067 506 4205
Kama umeguswa kanunue kuku hao. Mimi nimeshachukua wawiliPole sana cloudse media mimo kama shabiki mkubwa was fiesta nimeguswa sana
Mwananchi wenyewe wamesema kabisa ni baada ya taarifa za mitandao kuenea, means walivyoona vile wakampigia ndio wakaandika hiyo Taarifaumeiona namba ya simu katika taarifa ya Mwananchi......?
Kijana kua mzalendo ipende nchi yako [emoji23][emoji23][emoji23] na wewe ipende hali yako na pambana na hali yako kwa hela zote dingiiHabari zenu? Nina mtu namjua alikuwa na kibanda leo kwenye shuguli ya Firsta pale Leaders,kuku (100)bila kusahau nyama fillet ya mishkaki, utumbo supu ndizi mikungu ya kutosha. Kwa anayehitaji kwa bei ya hasara ampigie. Anaitwa Beatrice, Namba yake ni 0788 318 763 na 067 506 4205
Bashite OyeeeePole nyingi kwao..
Inasikitisha
Karibu sana ili nikuliwaze.Nimepata huzuni isiyoelezeka.
Pole ya kinafki hii.Pole nyingi kwao..
Inasikitisha
Umeuliza swali alafu umejijibu mwenyewe.Iv kwa nini leaders wanapang'ang'ania clouds licha ya changamoto wanazokutana nazo kipindi hiki? Ni mazingira, ni rahisi kufikika or vipi? Kwa nini kwa mfano wasiende sehemu zingine labda kama huko kawe au waanze kupikgia uwanja wa taifa pale!!!
[emoji23]Siamini wewe mtetezi wa JPM unakuja na uzi wa KUSANDA.......
Wewe si ndio mtetezi wa SISIEMU? Hakuna cha Bitrisi wala nini,ni wewe mwenyewe unauza,ndio faida ya kushabikia SISIEMU.