Hasara ya Fiesta....Dada anauza vifuatavyo kwa bei ya hasara mpigie simu kama unahitaji....

CHADEMA WAMESABABISHA YOTE HAYA COMRADE
 
Nunua wewe ambaye kila kukicha unaipongeza mamlaka.
 
umeiona namba ya simu katika taarifa ya Mwananchi......?
Mwananchi wenyewe wamesema kabisa ni baada ya taarifa za mitandao kuenea, means walivyoona vile wakampigia ndio wakaandika hiyo Taarifa
 
Mwananchi wenyewe wamesema kabisa ni baada ya taarifa za mitandao kuenea, means walivyoona vile wakampigia ndio wakaandika hiyo Taarifa
 
Kijana kua mzalendo ipende nchi yako [emoji23][emoji23][emoji23] na wewe ipende hali yako na pambana na hali yako kwa hela zote dingii
 
Bashite anavurunda kila kukicha ikumbukwe yeye alisema jmosi biashara zifungwe wakati mikoani watu wanafanya biashara kama kawaida.Mapato ya mkoa lazima yashuke.Jmosi watu ndiyo hununua mahitaji mbalimbali

Lizaboni
ISIS
MSAGA SUMU
 
Hii imenifanya nikumbuke Tamasha la Sugu pale Kijitonyama.. Kweli muda ni Mwalimu mzuri na Mungu si John.." Karma never loses an address"
 
Kijana kua mzalendo ipende nchi yako [emoji23][emoji23][emoji23] na wewe ipende hali yako na pambana na hali yako kwa hela zote dingii
una shida wewe.....
 
Pale jamaa aliposema "iiigh kubwa hiyo!" nilijua lazima kuna tatizo mbele!
 
Iv kwa nini leaders wanapang'ang'ania clouds licha ya changamoto wanazokutana nazo kipindi hiki? Ni mazingira, ni rahisi kufikika or vipi? Kwa nini kwa mfano wasiende sehemu zingine labda kama huko kawe au waanze kupikgia uwanja wa taifa pale!!!
Umeuliza swali alafu umejijibu mwenyewe.

Na hilo jibu uliojijibu ndio jibu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…