KumbeNina uhakika hakuna dada unaemjua wa hivyo, ni msg inazunguka Whatsapp ukaamua kuileta huku. Wenye akili kuliko wewe hua wanamaliziaga na "C&P".
Nifanyeje sasa mvunja barafu[emoji23]Naona umefurahi sana Dada....ππ
JF raha sana!
Pole ya kinafki hii.
Wasababishaji si hao hao unaokesha humu kila siku kuwasifu.