Jamani mke mzuri hakuna anae mjua wala mume mzuri hayupo, tuna sukuma sukuma tu ili siku ziende, huwezi jua tabia ya mtu kwa haraka mpaka uishi nae,na wake na waume vile vile hubadilika kati kati ya njia unabaki umeshangaa huamini kama mume au mkeo anaweza fanya visa alivyo kufanyia sasa tuishi kama hatuwezani kila mtu ajipange kivyake,sio lazima mshikiliane kiivyoo.