Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
[h=3]Kutafuta mchumba kwa Internet[/h]
I will never date a lady through the internet
Watu wengi hutumia mitandao (internet)
(hata zile zinaitwa christian dating sites) kwa ajili ya kujipatia mchumba na hatimaye mke au mume.
Je, ni njia sahihi? kuna hatari yoyote?
Basi Dr Christopher Eric anaapa kwamba hadi kifo hatarudia tena kutafuta mchumba au mke kwa kutumia mitandao.
Nini kimempata?
unaweza kupitia kwenye link ifuatayo
http://nukta77.com/ukumbini.aspx
Watu wengi hutumia mitandao (internet) (hata zile zinaitwa christian dating sites) kwa ajili ya kujipatia mchumba na hatimaye mke au mume.
Je, ni njia sahihi? kuna hatari yoyote?
Basi Dr Christopher Eric anaapa kwamba hadi kifo hatarudia tena kutafuta mchumba au mke kwa kutumia mitandao.
Nini kimempata?
unaweza kupitia kwenye link ifuatayo
http://nukta77.com/ukumbini.aspx