HASARA YA Kutafuta mchumba KWENYE Internet

HASARA YA Kutafuta mchumba KWENYE Internet

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
mke anasakwa popote na utamsoma mkionana
 
kwani ukishamuona tu unamuoa kesho yake au mnakuwa marafiki kwanza....
 
Kwani ni lazima kilichompata huyo Dr Christopher kimpate kila mtu?
 
Jamani mke mzuri hakuna anae mjua wala mume mzuri hayupo, tuna sukuma sukuma tu ili siku ziende, huwezi jua tabia ya mtu kwa haraka mpaka uishi nae,na wake na waume vile vile hubadilika kati kati ya njia unabaki umeshangaa huamini kama mume au mkeo anaweza fanya visa alivyo kufanyia sasa tuishi kama hatuwezani kila mtu ajipange kivyake,sio lazima mshikiliane kiivyoo.
 
Labda kuna vijitabia vya kufanana vya wapenda dating za mitandaoni.

Kama unashindwa kumpenda jirani yako iweje umpende mtu usiyemjua? (mtandaoni?). Sina uhakika ila hata mimi natia shaka sana na online dating; most of those looking for partners online have things to hide si wote lakini. Tulikuwa tunasoma na mdada mmoja ambaye watu walikuwa wanamsema vibaya sana kwanza alikuwa hajatulia tulipokuwa first year. Watu wakapitia sana mpaka walipokuja kushtuliwa kuwa dada yuko kwenye cheni mbaya mjini. Basi vijana wakaanza kumuogopa kama ukoma wakati wengine walishapitia. Sas hivi dada kaolewa na foreigner tena hawajawahi kukutana before aliunganishiwa online. Kapanda ndege kwenda kufunga ndoa huko huko ng'ambo.

Back
Top Bottom