Hasara za kuoa

Hasara za kuoa

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️

Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.

Leo ngoja nikupe Hasara za kuoa,
Ndugu msomaji kuoa kuna hasara kubwa sana na ni nyingi mno ila kama wewe umeoa sikushauri kuacha mke wako kwa maana faida za kuoa ni nzuri zaidi kuliko hasara.
Pia kama wewe ulikuwa ukipambana kutaka kuoa basi nikutakie heri na fanaka tele katika maisha yako ya ndoa.

HIZI HAPA NI HASARA KWA UCHACHE

1. KUJIWEKA KARIBU NA MIGOGORO
Ndoa nyingi kwa asilima kubwa zimekuwa na migogoro ya kila kukicha, migogoro isiyo na maana wala tija. Migogoro itakayokupelekea kuanza kuichukia nyumba yako na ulioijenga kwa gharama kubwa, mwisho wa siku amani na furaha yako unakuja kuipata kwenye vijiwe vya kahawa na mabanda ya mpira. Na ndio ninyi mnakesha humu jf mkiitafuta furaha.

2. KUJIWEKA KARIBU NA MAGONJWA YA ZINAA (UKIMWI
Ndugu yangu kama umeoa au unataka kuoa basi tambua kuwa AFYA yako umeiweka rehani,
Hata uamue kutulia na mke wako tu au utumie kinga katika michepuko yako bado haisaidii tena kwa maana unaishi na mtu asiyetambua ukubwa na ubaya wa gonjwa la ukimwi.,

3. UCHUMI WAKO KUWA HATARINI
Naam uchumi. Unapoa siku zote ni sawa n kusema (wazazi mnipe mtoto wenu nikamuhudumie) na sio mtoto tu utaanza kuhudumia na wazazi n familia yake yote kiujumla. Matatizo yao ni yako na yako ni yako mwenyewe, tena kuna baadhi ya familia kwao ni matatizo kila siku na mashuhuri kila kukicha.. Pia kuna kuvaa na kula kwa huyo mkeo na matunzo mengine.

4. KUWA KARIBU KUPATA WATOTO
Kwa dunia ya sasa hivi hii pia ni hasara. Watoto sio sehemu ya faida tena. Marazi ni mengi huku uteja kule ushoga na NK., Afu watoto wanakuja kukuzalau.

Asante.
 
Tunashukuru kwa Miongozo mbalimbali ya maisha.

😅!
 
Wewe ni zile manii zilizofosiwa kuja duniani na haya ndio matokeo yake.!!
 
Upeo mdogo wa kufikiria na utambuz wa mambo kaka unatatizo la afya ya akili.muone daktari haraka
 
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️

Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.

Leo ngoja nikupe Hasara za kuoa,
Ndugu msomaji kuoa kuna hasara kubwa sana na ni nyingi mno ila kama wewe umeoa sikushauri kuacha mke wako kwa maana faida za kuoa ni nzuri zaidi kuliko hasara.
Pia kama wewe ulikuwa ukipambana kutaka kuoa basi nikutakie heri na fanaka tele katika maisha yako ya ndoa.

HIZI HAPA NI HASARA KWA UCHACHE

1. KUJIWEKA KARIBU NA MIGOGORO
Ndoa nyingi kwa asilima kubwa zimekuwa na migogoro ya kila kukicha, migogoro isiyo na maana wala tija. Migogoro itakayokupelekea kuanza kuichukia nyumba yako na ulioijenga kwa gharama kubwa, mwisho wa siku amani na furaha yako unakuja kuipata kwenye vijiwe vya kahawa na mabanda ya mpira. Na ndio ninyi mnakesha humu jf mkiitafuta furaha.

2. KUJIWEKA KARIBU NA MAGONJWA YA ZINAA (UKIMWI
Ndugu yangu kama umeoa au unataka kuoa basi tambua kuwa AFYA yako umeiweka rehani,
Hata uamue kutulia na mke wako tu au utumie kinga katika michepuko yako bado haisaidii tena kwa maana unaishi na mtu asiyetambua ukubwa na ubaya wa gonjwa la ukimwi.,

3. UCHUMI WAKO KUWA HATARINI
Naam uchumi. Unapoa siku zote ni sawa n kusema (wazazi mnipe mtoto wenu nikamuhudumie) na sio mtoto tu utaanza kuhudumia na wazazi n familia yake yote kiujumla. Matatizo yao ni yako na yako ni yako mwenyewe, tena kuna baadhi ya familia kwao ni matatizo kila siku na mashuhuri kila kukicha.. Pia kuna kuvaa na kula kwa huyo mkeo na matunzo mengine.

4. KUWA KARIBU KUPATA WATOTO
Kwa dunia ya sasa hivi hii pia ni hasara. Watoto sio sehemu ya faida tena. Marazi ni mengi huku uteja kule ushoga na NK., Afu watoto wanakuja kukuzalau.

Asante.
Yote uliyoandika hayana ukweli wowote,japo ndoa sio lelemama,mnakubaliana kuishi na binaafamu ambae ana historia tofauti na wewe,malezi tofauti na wewe,elimu tofauti na wewe na kabla hujaoa,ama uwe mkristu au muislamu huwa mnapotishwa kwenye simina juu ya namna ya kuishi kwenye ndoa.Msingi mkuu wa ndoa ni kwamba hilo ni agizo la Mungu,kika binadamu,muda ukifika aoe au aolewe,na ndoa ili idumu ni lazima haya yafanyike:
1.Mchague mwenza wako wewe mwenyewe,usilazimishwe na mtu yoyote
2.Fungeni ndoa kwa mujibu wa dini yenu na msikae bila ndoa na wote mpitie mafunzo au maelekezo ya namna ya kuishi kwenye ndoa
3.Ndoa ni yenu nyie 2 msirihusu noa yenu kuingiliwa na ndugu wa pande 2
4.Pakitokea matatizo pale pale kaani chini muongee na mlimalize nyie wenyewe.Msichukiane,msinuniane na msiogope kuombana radhi kabisa
5.Msinyimane unyumba kabisa labda kama mmoja wenu ni mgonjwa au yuko kwenye siku zake
6.Kwamba nyie sio wakamilifu hivyo kukosa au kukosea kupo tu
 
Una experience kubwa na ndoa.
 
Kwa hiyo na wewe ni hasara kwa wazazi wako si ndioo
 
Back
Top Bottom