Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.
Leo ngoja nikupe Hasara za kuoa,
Ndugu msomaji kuoa kuna hasara kubwa sana na ni nyingi mno ila kama wewe umeoa sikushauri kuacha mke wako kwa maana faida za kuoa ni nzuri zaidi kuliko hasara.
Pia kama wewe ulikuwa ukipambana kutaka kuoa basi nikutakie heri na fanaka tele katika maisha yako ya ndoa.
HIZI HAPA NI HASARA KWA UCHACHE
1. KUJIWEKA KARIBU NA MIGOGORO
Ndoa nyingi kwa asilima kubwa zimekuwa na migogoro ya kila kukicha, migogoro isiyo na maana wala tija. Migogoro itakayokupelekea kuanza kuichukia nyumba yako na ulioijenga kwa gharama kubwa, mwisho wa siku amani na furaha yako unakuja kuipata kwenye vijiwe vya kahawa na mabanda ya mpira. Na ndio ninyi mnakesha humu jf mkiitafuta furaha.
2. KUJIWEKA KARIBU NA MAGONJWA YA ZINAA (UKIMWI
Ndugu yangu kama umeoa au unataka kuoa basi tambua kuwa AFYA yako umeiweka rehani,
Hata uamue kutulia na mke wako tu au utumie kinga katika michepuko yako bado haisaidii tena kwa maana unaishi na mtu asiyetambua ukubwa na ubaya wa gonjwa la ukimwi.,
3. UCHUMI WAKO KUWA HATARINI
Naam uchumi. Unapoa siku zote ni sawa n kusema (wazazi mnipe mtoto wenu nikamuhudumie) na sio mtoto tu utaanza kuhudumia na wazazi n familia yake yote kiujumla. Matatizo yao ni yako na yako ni yako mwenyewe, tena kuna baadhi ya familia kwao ni matatizo kila siku na mashuhuri kila kukicha.. Pia kuna kuvaa na kula kwa huyo mkeo na matunzo mengine.
4. KUWA KARIBU KUPATA WATOTO
Kwa dunia ya sasa hivi hii pia ni hasara. Watoto sio sehemu ya faida tena. Marazi ni mengi huku uteja kule ushoga na NK., Afu watoto wanakuja kukuzalau.
Asante.