Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Leta proof hapa we mbili kimo!Liangalie hovyoooooo. Hasheem Ibwe ni mwana Yanga SC 100% acha Ubishi. Hata Waandishi wa Habari wanaokusoma Wanakudharau kama siyo Kukucheka pia. Tuachie tunaojua mengi tukujuze na usitake Kushindana nasi wenye hiyo Tasnia sawa?
Ushahidi wako utaukuta Wodini Kwako Milembe Mental Hospital Mkoani Dodoma sawa?Leta proof hapa we mbili kimo!
Kila mtu anafahamu humu wewe ni chizi na dozi hukumalizaUshahidi wako utaukuta Wodini Kwako Milembe Mental Hospital Mkoani Dodoma sawa?
Thread zako 90% ni kuongelea MABAYA YA SIMBA!Kwann mkuu
Kwahiyo Machizi wanachekana au?Kila mtu anafahamu humu wewe ni chizi na dozi hukumaliza
shule ulikua unaenda kuangalia mademu ee?Dah kwa hiyo siku hizi kila timu ikicheza na Yanga inaingia kupunguza idadi ya magoli itayofungwa na sio ushindi wala sare?
Usilete mifano ya hovyo soka halipo hivyo.... Haya mbona yeye kamfunga coastal 5 wewe umefunga moja!..........mtu umekula nne mwenzio moja halafu unapiga kelele
Ila Kwa saizi. Yanga ndo hatari zaidi [emoji23][emoji23]Shida hicho ki Ibwe kinafosi umaarafu...na Simba hatumpi huo umaarufu..na hakuna anaebishanaga nae kule Simba kwa sbb sio level zetu wala kwny ramani ya soka la Africa hiyo team haituijui....aendelee kubishana na wanaemkatikiaga viuno...ss hatuwajui...
.
Ni sahihi japo Ahmed Ally anawajaza upepo tu mambumbumbu.Na ndo ukweli
Simba wachanga sana