Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Leta proof hapa we mbili kimo!Liangalie hovyoooooo. Hasheem Ibwe ni mwana Yanga SC 100% acha Ubishi. Hata Waandishi wa Habari wanaokusoma Wanakudharau kama siyo Kukucheka pia. Tuachie tunaojua mengi tukujuze na usitake Kushindana nasi wenye hiyo Tasnia sawa?