Hasheem ibwe: Simba bado sana kushindana na Azam

Hasheem ibwe: Simba bado sana kushindana na Azam

Liangalie hovyoooooo. Hasheem Ibwe ni mwana Yanga SC 100% acha Ubishi. Hata Waandishi wa Habari wanaokusoma Wanakudharau kama siyo Kukucheka pia. Tuachie tunaojua mengi tukujuze na usitake Kushindana nasi wenye hiyo Tasnia sawa?
Leta proof hapa we mbili kimo!
 
Sasa kama Simba ni mbovu, mbona Azam huwa mnatepeta mkikutana nayo??

Waifunge Simba mfululizo then waseme siyo daraja lao.

Matokeo yazungumze.
 
Shida hicho ki Ibwe kinafosi umaarafu...na Simba hatumpi huo umaarufu..na hakuna anaebishanaga nae kule Simba kwa sbb sio level zetu wala kwny ramani ya soka la Africa hiyo team haituijui....aendelee kubishana na wanaemkatikiaga viuno...ss hatuwajui...
.
 
Ila Kwa saizi. Yanga ndo hatari zaidi [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom