Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
amebakia kuja dar kuomba omba kama mastaa wenzake
Unaota!...u wish iwe hivyo!dah!pole sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amebakia kuja dar kuomba omba kama mastaa wenzake
Umefikiria nje ya box!tatizo maskini huchukia matajiri na kupendana wenyewe tu ndo maana hili ulilolifikiria wengi hawakulifikiria!hawa mabajaj na madereva wa daladala sometimes wanazingua sana!...mwacheni jama anaipenda bongo. Na inawezekana dereva wa babaji alitoa maneno ya ajabu. Inawezekana pia alitaka kum bllackmail
ngoja tabloids za majuu ziinyake hii....kama ni kweli huyu Bwana amekosea sana.. anapaswa awaombe radhi hata mashabiki wake.
wewe ni hayawani kabisa akili kama william malecela......sasa ngoja uone impact kwake yeye.....Leave the big man alone,waendesha bajaj na bodaboda ni vurugu,wana lugha mbaya hata kama kosa ni lao tena ni hatari kwa madereva wa magari madogo hapa mjini,yaani wao wanayaheshimu malori au magari makubwa.
enewei kumbe picha zipo....nairusha sasa hivi kwenye tabloid za oregon waone mchezaji wao anavyo behave dadadeki..
![]()
Hii si sawa kabisa kwa mtu wa hadhi yake kufanya hivyo....
Hasheem, anamiliki HAMMER ya rangi nyeupe na isingemcost chochote kuongea na dereva yule lwa ustaarabu yakaisha...Lakini cha ajabu akampiga wakati yeye ndio alikuwa na makosa....
![]()
KITUKO CHA PILI.....Hasheem akaamua kutokomea na kukimbia lakini akakumbana na Foleni na ndipo yule dereva wa BAjaj akaita Trafiki na wakamkamata kwenye Kituo Cha OILCOM Kijitonyama....
![]()
TAZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPO CHINI.....Celebrity kama Hasheem...Kwa hela alizonazo...Top 10 kati ya Wachezaji matajiri Afrika....Hiki ni kitendo cha aibu sana
arifu umeongea kitu cha kweli aiseee......ndio maana wakina ibaka wanaendelea kushine daima huyu tuko nae jolies na nyumbani longe akigombania wachafu kuoga kama wakina jokate.....Wachezaji nba wengi wanaotoka nchi ambazo basketball facilities and training zipo chini huwa wanabaki america for work out and trainings, al faruq aminu anatoka iran but usa respect him a lot no matter what's goes on btn iran and america, deng, serge ibaka, emeker okafor na wengineo wanaotoka africa wapo usa for trainings but ndugu yetu hasheem yupo bongo kuuza sura savanah na billz, yaani mtu una annual income around 20 billions but bado una akili za kijinga, mtu kama huyo wa bajaj unamsamehe tu na kumpiga na mwekundu wa msimbaz sio kwa fimbo
wewe dogo mioshi ya bangi ya kinondoni imekuharibu.....walikuwepo wakali wanaojua zaidi ya HT an mahela kibao kudadadadadadadadeki sasa hivi ni homeless......endelea kumshauri asifanye mazoezi awe mzivu utaniambia mkataba wake ukiisha.......Unaota!...u wish iwe hivyo!dah!pole sana!
hahahahaha mbavu zangu mie..... mwenzao anaulizwa triangles na fire extinguisher wao wanadai kagonga.Najisikia kucheka maana habari picha na maelezo haviendani kabisa hizi habari za kupika jamani? Alafu inaelekea hata mpiga picha ingawa alikuwa kwenye gari aliogopa hata kumsogelea kumpiga picha ya karibu kwa kuhofia mitama. Chezeiya Toluuu wewe
Umeona eeh! Sijui ndio msemaji wao?
What the F was the Longer man thinkin?
Ndio maana he is among the five most hated NBA Ballers.
| 1. Kris Humphries | Nets |
| 2. LeBron James | Heat |
| 3. Kobe Bryant | Lakers |
| 4. Tony Parker | Spurs |
| 5. Metta World Peace | Lakers |
| 6. Chris Bosh | Heat |
| 7. Carmelo Anthony | Knicks |
| 8. Paul Pierce | Celtics |
| 9. Dwyane Wade | Heat |
| 10. Lamar Odom | Mavericks |
Unamkandia au unamsifia?tolu jitu la kuharibu utaratibu sehemu za bata!...yaani likitimba batani lazima utaratibu uvurugike!sura sasa hivi hazinunuliki mpaka tolu lisepe mjini!...utaratibu anaanza kuuharibu katika parking na gari lake siyo usafiri!manake kuna gari na usafiri!tolu anasukuma gari!Publicity stunt,ili tujue kwamba yupo bongo,haya limbukeni hasheem tanua mwana vogue jeusi hammer jeupe nyumba masaki elimu 4m 4 hapo ndo panakuaribia ndio maana umeshindwa kushirikisha ubongo,kama umegonga ni kusimama na kuomba samahani na unamdakisha driver wa bajaji hata buku 50 unasepa,ungenifanyia mimi hvyo mbona ungejuta ningekuchaji fidia ya bil 50.