Hasheem Thabeet agonga bajaj, amshushia kibano kitakatifu dereva

Hasheem Thabeet agonga bajaj, amshushia kibano kitakatifu dereva

mwacheni jama anaipenda bongo. Na inawezekana dereva wa babaji alitoa maneno ya ajabu. Inawezekana pia alitaka kum bllackmail
Umefikiria nje ya box!tatizo maskini huchukia matajiri na kupendana wenyewe tu ndo maana hili ulilolifikiria wengi hawakulifikiria!hawa mabajaj na madereva wa daladala sometimes wanazingua sana!...
 
Leave the big man alone,waendesha bajaj na bodaboda ni vurugu,wana lugha mbaya hata kama kosa ni lao tena ni hatari kwa madereva wa magari madogo hapa mjini,yaani wao wanayaheshimu malori au magari makubwa.
 
enewei kumbe picha zipo....nairusha sasa hivi kwenye tabloid za oregon waone mchezaji wao anavyo behave dadadeki..
hammer.jpg

Hii si sawa kabisa kwa mtu wa hadhi yake kufanya hivyo....

Hasheem, anamiliki HAMMER ya rangi nyeupe na isingemcost chochote kuongea na dereva yule lwa ustaarabu yakaisha...Lakini cha ajabu akampiga wakati yeye ndio alikuwa na makosa....
h3.jpg

KITUKO CHA PILI.....Hasheem akaamua kutokomea na kukimbia lakini akakumbana na Foleni na ndipo yule dereva wa BAjaj akaita Trafiki na wakamkamata kwenye Kituo Cha OILCOM Kijitonyama....

h2.jpg

TAZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPO CHINI.....Celebrity kama Hasheem...Kwa hela alizonazo...Top 10 kati ya Wachezaji matajiri Afrika....Hiki ni kitendo cha aibu sana
 
wewe ni hayawani kabisa akili kama william malecela......sasa ngoja uone impact kwake yeye.....
 
enewei kumbe picha zipo....nairusha sasa hivi kwenye tabloid za oregon waone mchezaji wao anavyo behave dadadeki..
hammer.jpg

Hii si sawa kabisa kwa mtu wa hadhi yake kufanya hivyo....

Hasheem, anamiliki HAMMER ya rangi nyeupe na isingemcost chochote kuongea na dereva yule lwa ustaarabu yakaisha...Lakini cha ajabu akampiga wakati yeye ndio alikuwa na makosa....
h3.jpg

KITUKO CHA PILI.....Hasheem akaamua kutokomea na kukimbia lakini akakumbana na Foleni na ndipo yule dereva wa BAjaj akaita Trafiki na wakamkamata kwenye Kituo Cha OILCOM Kijitonyama....

h2.jpg

TAZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPO CHINI.....Celebrity kama Hasheem...Kwa hela alizonazo...Top 10 kati ya Wachezaji matajiri Afrika....Hiki ni kitendo cha aibu sana

Najisikia kucheka maana habari picha na maelezo haviendani kabisa hizi habari za kupika jamani? Alafu inaelekea hata mpiga picha ingawa alikuwa kwenye gari aliogopa hata kumsogelea kumpiga picha ya karibu kwa kuhofia mitama. Chezeiya Toluuu wewe
 
Wachezaji nba wengi wanaotoka nchi ambazo basketball facilities and training zipo chini huwa wanabaki america for work out and trainings, al faruq aminu anatoka iran but usa respect him a lot no matter what's goes on btn iran and america, deng, serge ibaka, emeker okafor na wengineo wanaotoka africa wapo usa for trainings but ndugu yetu hasheem yupo bongo kuuza sura savanah na billz, yaani mtu una annual income around 20 billions but bado una akili za kijinga, mtu kama huyo wa bajaj unamsamehe tu na kumpiga na mwekundu wa msimbaz sio kwa fimbo
arifu umeongea kitu cha kweli aiseee......ndio maana wakina ibaka wanaendelea kushine daima huyu tuko nae jolies na nyumbani longe akigombania wachafu kuoga kama wakina jokate.....
Unaota!...u wish iwe hivyo!dah!pole sana!
wewe dogo mioshi ya bangi ya kinondoni imekuharibu.....walikuwepo wakali wanaojua zaidi ya HT an mahela kibao kudadadadadadadadeki sasa hivi ni homeless......endelea kumshauri asifanye mazoezi awe mzivu utaniambia mkataba wake ukiisha.......
 
Najisikia kucheka maana habari picha na maelezo haviendani kabisa hizi habari za kupika jamani? Alafu inaelekea hata mpiga picha ingawa alikuwa kwenye gari aliogopa hata kumsogelea kumpiga picha ya karibu kwa kuhofia mitama. Chezeiya Toluuu wewe
hahahahaha mbavu zangu mie..... mwenzao anaulizwa triangles na fire extinguisher wao wanadai kagonga.
mbona mgongwaji hayupo.
 
Yo Yo...haya mtoto wa mlimani!najua kwanini humkubali huyu mwana kwani nyie ndo mlikuwa wakali wa kikapu pale kati enzi zenu na kina Garnet na Salumu!hahhahahahha!!!usiniulize nimekujuaje
 
Last edited by a moderator:
hilo ndo tatizo la wabongo wengi wakishapata mafanikio;wanajiona wapo juu ya sheria na jamii anakuwa kipofu kwa upuuzi na ujinga wanaoufanya badala ya kuwakemea ili wajirekebishe! Ni ulimbukeni tu huo!!!
 
I wish this story could reach sports News in States and his team too, Wamarekani hawachezi, amuulize michael vick when his reputation wa totally destroyed na ile case ya mbwa, sembuse hiki kijamaa, them they dont care how much money you have, you mess up, you're screwed up period!, especially kwa issue kama hii ya kumuonea mtu who's just trying to make a living legally. Wht if he killed him? Unbelievable!, he was supposed to be a role model for kids who look up to him!
 
Umeona eeh! Sijui ndio msemaji wao?

Sina chuki na wakali wanaorun town kwa talent zao!...mwenyewe nna jina,mauzo mia,watoto wa kike wazuri hawanisumbui!chuki itatoka wapi!nyie vijuso na maisha magumu ndo full chuki kwa wakali!
 
What the F was the Longer man thinkin?

Ndio maana he is among the five most hated NBA Ballers.

According to a survey conducted by Nielsen and E-Poll Market Research that appeared on Forbes.com, the 10 most-disliked NBA players:
1. Kris HumphriesNets
2. LeBron JamesHeat
3. Kobe BryantLakers
4. Tony ParkerSpurs
5. Metta World PeaceLakers
6. Chris BoshHeat
7. Carmelo AnthonyKnicks
8. Paul PierceCeltics
9. Dwyane WadeHeat
10. Lamar OdomMavericks
 
Publicity stunt,ili tujue kwamba yupo bongo,haya limbukeni hasheem tanua mwana vogue jeusi hammer jeupe nyumba masaki elimu 4m 4 hapo ndo panakuaribia ndio maana umeshindwa kushirikisha ubongo,kama umegonga ni kusimama na kuomba samahani na unamdakisha driver wa bajaji hata buku 50 unasepa,ungenifanyia mimi hvyo mbona ungejuta ningekuchaji fidia ya bil 50.
 
Unamkandia au unamsifia?tolu jitu la kuharibu utaratibu sehemu za bata!...yaani likitimba batani lazima utaratibu uvurugike!sura sasa hivi hazinunuliki mpaka tolu lisepe mjini!...utaratibu anaanza kuuharibu katika parking na gari lake siyo usafiri!manake kuna gari na usafiri!tolu anasukuma gari!
 
dogo aende maakamani amshikishe adabu kuna wanasheria kibao wanataka kupata ujiko kwa kumfunga mtu maarufu namshauri akamfunge tu kazidi utaira..
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom