Hii sasa imesha bore.
Huyu Hashim hana busara kabisa. Na ninakuambia haipiti muda atakuwa demoted forever from the NBA!!! Anajisikia sana as if he is living in his own sphere!!! What is $10 mil a year kwa hopeless spender!!!??? Akipoteza hicho kibarua cha NBA ni aibu kwake na ataishia maisha ya kawaida tu huko Marekani!!! Afahamu kuwa he has many enemies in Tz and America as well, unafikiri wazungu wanamfurahia wote??? Ngoja wamshushe down kama Tiger woods!!! Wakipata ka story kadogo watakatengeneza na itakuwa his ruin forever!!! Hii mi so called micelebrity inanichosha mno!!! Inataka mno cheap publicity!!!!
hivi kwa nini unapendaga kuongea kwa tone nzito??
Duh jamaa anashindwa kuimbisha?
Jokate alikua wapi muda wote huo Hasheem anafanya hizo fujo IFM na hiro ri vogi rake
Aaah, unazungumzia Ikulu? Mbona hata Juma Nature aliitwa Ikulu akaenda akiwa amelewa! Hii ni awamu ya nne bwana, si ya Kwanza au ya Tatu !!Huyu kijana si alishawahi kualikwa Ikulu yetu kama mgeni maalumu wa presidaa?
aaaaah kumbe ni hivo???!!!
Jokate alikua wapi muda wote huo Hasheem anafanya hizo fujo IFM na hiro ri vogi rake
Ni hivo vipi tena? hawa ni washkaji tu wa karibu... wanahang wote mara nyingi tangu Hashim karudi mjini.
Huyu dogo naona anachezea career yake sasa maana watu wa NBA wana personal conduct policy na haijalishi uko wapi. Wao wanataka wawakilishwe vyema na wawakilishi (wachezaji na watu wengine walo affiliated nao) wao. Huyu dogo na ujinga wake atakuja kutoswa huyu. Mchezo wenyewe hauwezi vizuri halafu bado ana act kijinga jinga. Ngoja David Stern asikie hizi habari na kama ni za kweli tutaona kitakachoendelea
Surely,you can't buy CLASS.
fidel ....taking his celeb status aside ....hasheem is not attractive at all......
sasa inabidi afanye kazi ya ziada