Nimemwona Hasheem Thabit sasa hivi. Alikuwa maeneo ya Mikocheni na wapambe wake wanaweka bango la matangazo.
Nikamwambia,''Wewe ndiye Hasheem,basketball star.'' Akasema,''Siyo mimi.''
Nikamwambia,''Hapana. Ni wewe. Mimi ni Andrew Nyerere. I am pleased to meet you.''
Basi,nikamsalimu,nikaondoka.
Nimetazama sasa hivi katika internet,to check,na nimeona kwamba yule ni kweli Hasheem .
Mimi nina bahati ya kukutana na stars. Nilipokuwa America,nilikuwa natembea mitaani,at a very isolated place,nikamwona Fifty Cent,he was walking about with a walkman[anasikiliza muziki]. Nilimwona huyu mtu walking towards me,and I was about to tell him,''You know,you look just like Fifty Cents'' Lakini there was something about the personality of the man that stopped me from saying that. Halafu huyu mtu akanisalimia,akaondoka.
Nikaenda mbele,kijiweni,nikawakuta Afro-Americans wamekaa. Nikawauliza,''Excuse me,can you tell me if Fifty Cents lives anywhere near here?'
Mmoja wao akanijibu,huyu his mind was very badly scarred by drugs. Hawa watu mara nyingi nilikuwa napita pale nawaona wanavuta bangi.
Yule mtu akanijibu,''Hello,ny friend. You are looking for Fifty Cents? That's good. WE ARE ALL FIFTY CENTS.''
Baada ya kusikia hivyo nikaondoka.
Lakini yule mtu niliyemmwona probably alikuwa Fifity Cents. Kwa sababu,a few days before that niliiona movie,starring Curtis Mayfield[ambaye ndiye Fifty Cents],movie kuhusu maisha yake,true life story.