HASHEEM Thabeet ampiga mtama TID!

HASHEEM Thabeet ampiga mtama TID!

Duh...Thabeet kachoka kweli. Angebaki shule tu! Kazi kweli kweli...
 
Ha ha ha ha eti tid ni terrible infectious desease.....
Haya................lol.....

Ahsante sana BOSS yaaaaani nimecheka sana hahahahahahah kutokana na hizo comments za wachangiaji. Huyu Hasheem kama alidhani anaweza kufanya uhuni akiwa Dar usimuharibie kitumbua chake NBA basi ameula wa chuya. Jamaa inabidi awe na watu makini sana wakumshauri vinginevyo kibarua kinaweza kikaota majani mapema sana kuliko alivyotegemea.
 
hao jamaa wangejua wasinegsema, tid huku ni maarufu kuliko uyo thabeet, by the way at least tid amewika ktk ulimwengu wa muziki uyo thabeet ame proove failure!
 
alaaaaaaaaa hiyo ndo akili yetu sie kina mgayakinu yaani tabu tu, na kila penye upenyo lazima ulianzishe japo wakujue,daa, ni aibu jamani,vijana wenzanu, tujitahidi kujifunza kutokana na mabadiliko ya kimaisha, tusibaki pale pale, kama ni usupastaa hata usipogombana au kutukana,ni lazima utakuwa tu, if imepangwa ipo tu.
 
Hasheem analegalega NBA anakuja kuleta ujanja Bongo, kama yeye mtu wa varangati akawafanyie huko US aone matokeo yake!! Huu ni uhayawani na upunguani wa wanaoitwa celebrities wa kibongo.....mimi naona hao wot eni wapuuzi!
 
wow! mambo ya bongo celebrities---ahahaaaaaaaa, i know the guys called Hashimu, ana hasira sana
 
I'd go with Hasheem Thabit's version of what really went down that night. Hasheem had no prior grievances or beef going on with dude and had therefore no real reason or motive to loose his cool. Kupigwa mtama ni the least Hasheem Thabit could have done, na siyo big deal kwa mazingira ya Bongo. Hata kesi ikienda mahakamani, bitch nigga TID will most certainly lose kwani credibility yake ukilinganisha na ya Hasheem ni ndogo sana kutokana na kuwahi kufungwa kwa kutukana na kujeruhi kwa kumpiga mtu na chupa Slipway.
 
tim tebow! POWWWW

TID IS REALLY A TERRIBLE INFECTIOUS DISEASE
 
tim tebow! Powwww

tid is really a terrible infectious disease

unajua ukiona mtu ameshakwenda
jela na bado ana mambo ya kijingajinga kama tid.....
Unabaki unajiuliza kama huko jela hawakum nanihii
 
TID needs to "MAN UP" by the way, did these two meet at Kili Music Awards?
 
tid needs to "man up" by the way, did these two meet at kili music awards?

tid ana tabia za kizanzibari....tabia za kudekadeka.....
Hawezi ku act like a man..........sijui huko jela ali survive vipi???????????
 
hahahh hahaha inachekesha sana ugomvi wa wawili wengine wanamalizia bifu zao humo humo. Nyie mnajulikana? zaidi ya kwenye jamii forum?
 
Thabeet anao watu wa kumtetea kwenye international media, kwa hivyo wao wataandika wanavyopenda, na la kwanza ni kukataa na kujikosha. Hii huwa tunaiona kwa wana michezo wenye majina na hata Actors/Actresses. Wakibanwa sana ndio hukubali.

TID hana watetezi wa aina hiyo kwa hivyo mutabaki kumkandia tu bila ya kuthibitisha ukweli uko wapi. Sio kwamba namtetea TID lakini hapa naona hakuna fair game.
 
Nafikiri serikali kupitia wizara husika ikae chini na kuongea na Hashim ili ajue wajibu wake ka taifa. Akiloose yeye na nchi kwa namna flani italoose pia. Halafu atakua amefunga mlango ka vijana engine a bongo.
 
Nimesikiliza mahojiano ya Hashimu na moja ya vituo vya redio bongo na jamaa anaongea kama vile hajui Kiswahili. Yaani anahangaika kutafuta maneno utdhani Kiswahili si lugha yake ya kwanza. Inasikitisha. Nina uhakika kabisa hata Kiingereza chenyewe hakijui hivyo....Kiswahili na chenyewe kinampa shida. Kweli Watanzania wengi hatujui lugha.
 
Nimemwona Hasheem Thabit sasa hivi. Alikuwa maeneo ya Mikocheni na wapambe wake wanaweka bango la matangazo.
Nikamwambia,''Wewe ndiye Hasheem,basketball star.'' Akasema,''Siyo mimi.''
Nikamwambia,''Hapana. Ni wewe. Mimi ni Andrew Nyerere. I am pleased to meet you.''
Basi,nikamsalimu,nikaondoka.
Nimetazama sasa hivi katika internet,to check,na nimeona kwamba yule ni kweli Hasheem .
Mimi nina bahati ya kukutana na stars. Nilipokuwa America,nilikuwa natembea mitaani,at a very isolated place,nikamwona Fifty Cent,he was walking about with a walkman[anasikiliza muziki]. Nilimwona huyu mtu walking towards me,and I was about to tell him,''You know,you look just like Fifty Cents'' Lakini there was something about the personality of the man that stopped me from saying that. Halafu huyu mtu akanisalimia,akaondoka.
Nikaenda mbele,kijiweni,nikawakuta Afro-Americans wamekaa. Nikawauliza,''Excuse me,can you tell me if Fifty Cents lives anywhere near here?'
Mmoja wao akanijibu,huyu his mind was very badly scarred by drugs. Hawa watu mara nyingi nilikuwa napita pale nawaona wanavuta bangi.
Yule mtu akanijibu,''Hello,ny friend. You are looking for Fifty Cents? That's good. WE ARE ALL FIFTY CENTS.''
Baada ya kusikia hivyo nikaondoka.
Lakini yule mtu niliyemmwona probably alikuwa Fifity Cents. Kwa sababu,a few days before that niliiona movie,starring Curtis Mayfield[ambaye ndiye Fifty Cents],movie kuhusu maisha yake,true life story.
 
Nawasisi kuna watu watakuja na madongo yako.
Sababu ipo hapo kwenye red.
 
Nawasisi kuna watu watakuja na madongo yako.
Sababu ipo hapo kwenye red.

We mzee Ganesh utamuweza? Anaweza kukupandishia CD za meditation na nuclear sites za New Mexico ukashangaa mwenyewe.

Mimi naona Watanzania hata tunapopata matumaini yanakuwa shortlived. Dikembe Mutombo kafanya kweli NBA, Kajenga bonge la Hospitali la mamilioni ya dola hapo Kinshasa. Sina maana kwamba Hashimu ni mali ya taifa kama wanavyosema wengine - naamini anahaki ya kuwa individual- lakini asipoangalia siyo tu atashindwa kufanya kama Dikembe, bali anaweza kuishia muflisi.

Kwenye michezo kuna kitu kama "Champs Syndrome" ambapo mwanamichezo anazungukwa na wapambe wanaomfanya aamini kwamba anaweza kufanya chochote (kama umeiona movie ya "Let's Do It Again" Sidney Poitier, Bill Cosby na JJ Walker utaona hii syndrome at work.

Hasheem si mara ya kwanza kujiingiza katika bar brawls, alishawahi kuingia katika fracas katika ma club NJ, na hiki ki attitude cha "mnanijua mimi ni nani"

I am sorry, but if you have to ask that question, they either don't know you or don't care.

You can take a kid out of the ghetto, but you can't take the ghetto out of the kid.

Kama hajapata handlers, counselling na pengine hata therapy anaweza kuwa a has been quicker than you can say Manute Bol.
 
Back
Top Bottom