Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Sasa wana kana ndio hili kumlinda hasheem,je kama kuna mtu amerekodi kwenye simu na ikawekwa hewani? Manake siku hizi noma utastukizia clip imewekwa tu .
...hapo ndipo itakua kazi kweli kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wana kana ndio hili kumlinda hasheem,je kama kuna mtu amerekodi kwenye simu na ikawekwa hewani? Manake siku hizi noma utastukizia clip imewekwa tu .
Weshampa ujiko TID aaaaaaaaaaaaaagh...!!!!
yaani itakua noma juu ya noma,kosa juu ya kosa,na hawa watu wasivyopenda uongo sijui itakuaje,jamaa yangu mrefu amkatie dogo tu mshiko wake halafu afanyiwe live coverage akanusheSasa wana kana ndio hili kumlinda hasheem,je kama kuna mtu amerekodi kwenye simu na ikawekwa hewani? Manake siku hizi noma utastukizia clip imewekwa tu .
sio issue nyumbani ni nyumbani,nani alikwambia madem nje ya kwenu ndio wanauza sana?babu waweza kuta mtu ana mchumba wa maana huko unyamwezini halafu ukakuta anapelekeshwa na mtoto wa uswazi migomigo.iyo tu Hshimu kaono mademu wangapi mtoni bwana tena wenye hadhi
na pesa zao TID mpuuzi tu
awa mademu wa bongo ata ukienda nae club ata bia moja tu awezi kununua
mhhhhhhh
Hasheem Thabeet analipwa $10 million a year na timu yake huko Marekani. Hizi ni pesa nyingi sana kwa kijana yoyote na haswa kwake yeye kwa vile alikuwa na maisha magumu kabla ya kufanikiwa kwenda NBA. Ni dhahiri kuwa asipokuwa makini, utajiri huu mkubwa na wa ghafla alioupata utamchanganya.
Ni kweli jamani maana inayvoonekana TID ndo alianzisha halafu anataka sifa kupiti amgongo wa mwenzie nimeona comment za yahoo wamemuita na Nukuhu "Terrible Infection Disease" mwisho wa kunukuhu
kama TID kabondwa raha sana!amezidi kuwa mbabe
Kabisa...Inaonekana TID anataka kumuharibia Hasheem aonekene mkorofi hayo sio maisha kwa kweli TID ana tabia mbaya bora Mbowe amemfungia
kuna watu wanaua kwenye maoni huko,kuna jamaa anasema kibaka ni kibaka tu hata awe star,kampa jap mwenzie kisha kamuibia simu lol hashimu kaiba simu ha ha haa.[/QUOTE]
haaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
The agent for Memphis Grizzlies center Hasheem Thabeet has told the team that an alleged incident involving Thabeet and R&B singer T.I.D never took place. FOX13 Sports Director Matt Stark spoke with Ugo Udezue, Thabeets agent, by phone Tuesday night, and Mr. Udezue said the allegations that Hasheem had knocked out the singer were completely false. Udezue acknowledged that Thabeet was in a nightclub last weekend when an altercation broke out, but that the Grizzlies center was in a private section of the club and being protected by three bodyguards at the time, which is the norm for Thabeet when staying in Tanzania. Udezue says his client was immediately removed from the club, and was stunned later to hear the allegations that he had been involved. Udezue said he believes the singer made the story up as a publicity stunt, and to get his music played on the radio.


Ha ha ha ha eti tid ni terrible infectious desease.....
Haya................lol.....