Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons

Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons

Statistics zake zinatisha... NI AIBU TUPU.... na yeyote anaye msifia ajichunguze akili... Na watu wanao msifia ndio wanamuharibu Akili Huyo thabeet kwasababu wanamjaza Sifa za kipumbavu na kujiona yupo juu wakati jamaaa anaharibu... Mchaneni Ukweli akaze buti...


Ndo kitu watu wanasahau. Hamna asiyekubali kuwa jamaa kapiga hatua kubwa mno na kaweka historia ya kipekee maana hata career yake college sio mbaya. Sema sijui ni nature yetu waTanzania kuwa complacent? Maanake kwa kipaji alichokuwa nacho, Thabeet could have been one of the best defensive centers to have played in the league á la Mutombo, Alonzo Mourning etc. Hizo sifa anazopata sasa hivi wouldn't even begin to compare to ambavyo angekuwa anaheshimika worldwide badala ya Tanzania peke yake. Hivi watu wanakumbuka Mutombo alivyopata standing ovation during a State of the Union Address by George Bush? (DIKEMBE MUTOMBO ON STATE OF THE UNION - YouTube) Mi nahisi jamaa alikuwa anajicompare na watu ambao sio level zake afu akaridhika, maana ukimcompare na kina TID au sisi waTanzania wenzake wa kawaida sawa katuzidi kwa kila kitu na kafanya makubwa ukilinganisha na sisi, lakini TID au waTanzania are nor longer his peers nor in his level. Thabeet should be striving to be better than the Tanzanian status quo, because at the end of the day people will look at his basketball body of work and compare it to his NBA peers and not kwamba he was better than kajamba nani wa Keko.

And I know we keep saying he has time on his side lakini at 27 years old and with the amount of Teams and chances he's had and the regression (not progression) he has shown in his game, it must get to a point coaches will not be willing to take chances with him anymore because he is getting to an age where players are considered uncoachable.

Thabeet if you read this man just find yourself a team in China, dominate the shit out of the CBA, build up your cred again and hopefully that will lead to some opportunities in the NBA again. It's not hate we just wish the best for you because we know you are capable of much more.

 
Last edited by a moderator:
hii thread imenipa ugumu kuelewa post za wachangiaji, kiswanglish mpaka huelewi nini mtu anamaanisha.
 
To be honest huu ndio mwisho wa jamaa ingawaje wengi wetu tulikuwa nyuma yake tukimtakia mafanikio zaidi...
 
Hata akitimuliwa ana pesa ya kutosha kumalizia maisha yake yaliosalia hata kama hatapata timu nyingine. Big Up Thabeet, you are the man of this time.

Ni kweli amepata pesa nzuri lakini kupata pesa is one part of the problem how you manage it is a different ball game. Statistics kwenye hiyo article ambayo nimeattach zinasema 60% ya former NBA player declare bankruptcy within five years of being out of the league. I hope jamaa alijipanga vizuri maana si unajua wabongo tunavyopenda kuona mtu kafulia. It's a really good article isome ukipata muda.
78% of NFL Players Go Bankrupt Within 5 Years & NBA Players In... - munKNEE dot.com



Tatizo la wabongo wengi huwa hawapendi ukweli, nashangaa wakati mitandao na magazeti husika ya timu alizochezea Hasheem inapatikana kwa bure ili kila mtu asome. Nilipitia mtandao wa Houston Chronicle kusoma kwa nini Hasheem alikuwa traded kwenda Oklahoma City, mtandao ukasema jamaa alikuwa surplus to requirements na baadhi ya comments za watu zikasema kuwa jamaa is just plainly useless. Haya ni maoni ya wana Houston juu ya Hasheem, mimi nilikuja kukopi haya nikasakamwa. Nina ndugu zangu huko Houston, kipindi Hasheem anachezea ile timu ya huko jamaa zangu wakaniambia jamaa is really patheitc na huwa hapangwi tu kucheza mpaka timu ikiwa imefungwa au inashinda basi yeye Hasheem anakuja kucheza dakika ama sekunde za mwisho ili tu achangamshe damu kwani hana any impact kwenye timu. Ukisema hapa, timu Hasheem inakuja kuongea otherwise na kuita watu haters. Tukubali ukweli jamani. Hivi kwelu utalazimisha Hasheem kuwa mchezaji mzuri wakati kila mtu anajuwa yuko useless? Jiulizeni kwa nini kila timu inamtema baada ya mwaka, je na hizo timu nazo ni haters kumtema Hasheem kila mwaka?

Afu hizo hizo scrub minutes alizokuwa anapewa angezitumia vizuri angekuwa bado ana timu. Wachezaji wangapi kibao hawana stats za kutisha lakini wana timu kwa sababu ya hustle wanaoiyonyesha when they get on the court? Anyone remember Joel Anthony? (Joel Anthony - Wikipedia, the free encyclopedia) Jamaa at one point alikuwa starting center for Miami Heat, Joel Anthony STARTING CENTER!!? He also is a two-time NBA Champion. Sasa niambie Joel Anthony na Thabeet wapi kwa wapi in terms of natural talent and physical gifts? Lakini effort, hustle and hardwork on the court takes you a long way. And the irony in all of this is that Joel Anthony now plays for the Pistons, so he probably took the roster spot that Thabeet could have had.
 
Apunguze anasa....kilichomporomosha ni yeye akiwa likizo anakuja bongo kufanya celebrity badala ya kujichimbia kujifua. Ukiwa kwenye hizo level kila siku viaji vinazaliwa unatakiwa ujifue kweli na kupunguza starehe na ngonoooooo.
 


The title of the video looks bad but it's a very interesting interview with Dikembe Mutombo mfano mzuri wa kuigwa kwa wanamichezo wote wa kiAfrika. Jamaa ameonyesha kuwa wanamichezo wana nafasi kubwa sana ya kuinfluence change in society bila kuingia kwenye siasa. Jamaa ana uraia wa marekani lakini shughuli zake za kijamii na maendeleo anafanya kwao Kongo.
 
Last edited by a moderator:
thedon umesahau kummgusia mwafrika mwengine muhimu HAKEEM OLAJUWON-1ST DRAFT(ahead of michael jordan 3rd) -1984,Hall of Famer,2 time nba champ....master of fade away jump shots and post play moves..
 
Mama yake alisema watanzania wamemroga inawezekana kuna ukweli watu wamemuendea kwa babu hili asiwe anawaza mazoezi yeye awaze kuja bongo tu.
 
Kaumri nako tuwe tunakaangalia ninawasiwasi kama huyu dogo Hasheem hakuchakachua umri maana ukimwona amekomaa sana kuliko hata wachezaji wa umri mkubwa.

That's a shame because the guy had some promise, you don't get drafted second overall behind a player like Blake Griffin and ahead of players like DeMar DeRozan, Jru Holiday, Steph Curry, etc, if you are chump. But unfortunately he didn't fulfil the promise he showed in college. I remember discussing about his performances on here a couple of years ago tukaitwa mahaters. Ajipange upya timu zinatafutaga "big men" all the time maybe he can get a team somewhere where he'll be able to play a role achukue veteran minimum yake atulie zake. Kama vipi atafute opportunities za kibiashara amepata profile ya kutosha kuweza kumboost.
 
Umri nao tatizo isije ikawa alichakachua umri, vijana wa kitanzania ndo tabia zao.

Mama yake alisema watanzania wamemroga inawezekana kuna ukweli watu wamemuendea kwa babu hili asiwe anawaza mazoezi yeye awaze kuja bongo tu.
 
Statistics zake zinatisha... NI AIBU TUPU.... na yeyote anaye msifia ajichunguze akili... Na watu wanao msifia ndio wanamuharibu Akili Huyo thabeet kwasababu wanamjaza Sifa za kipumbavu na kujiona yupo juu wakati jamaaa anaharibu... Mchaneni Ukweli akaze buti...

Kinachonishangaza hapa, kikapu acheze yeye, hela akilipwa zake, wewe uone aibu? Kweli kazi mnayo.
 
Juzi Jumatatu Hashimu thabiti katimuliwa rasmi NBA baada ya timu ya Detroit pistons kuchoka kumuweka kwenye training camp roster na kuamua kumtimua. Kwa sasa hakuna timu itakayo mchukua baada ya matokeo mabovu aliyoyaonesha akiwa kama 2nd overall pick ni aibu kubwa kwa historia ya NBA.
Karibu Bongo kijana kuna mademu wa kutosha!
w640xh480_USPW_264274.jpg

More info chek link below

theScore

theScore
 
Back
Top Bottom