MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 560
Statistics zake zinatisha... NI AIBU TUPU.... na yeyote anaye msifia ajichunguze akili... Na watu wanao msifia ndio wanamuharibu Akili Huyo thabeet kwasababu wanamjaza Sifa za kipumbavu na kujiona yupo juu wakati jamaaa anaharibu... Mchaneni Ukweli akaze buti...
Hata akitimuliwa ana pesa ya kutosha kumalizia maisha yake yaliosalia hata kama hatapata timu nyingine. Big Up Thabeet, you are the man of this time.
Tatizo la wabongo wengi huwa hawapendi ukweli, nashangaa wakati mitandao na magazeti husika ya timu alizochezea Hasheem inapatikana kwa bure ili kila mtu asome. Nilipitia mtandao wa Houston Chronicle kusoma kwa nini Hasheem alikuwa traded kwenda Oklahoma City, mtandao ukasema jamaa alikuwa surplus to requirements na baadhi ya comments za watu zikasema kuwa jamaa is just plainly useless. Haya ni maoni ya wana Houston juu ya Hasheem, mimi nilikuja kukopi haya nikasakamwa. Nina ndugu zangu huko Houston, kipindi Hasheem anachezea ile timu ya huko jamaa zangu wakaniambia jamaa is really patheitc na huwa hapangwi tu kucheza mpaka timu ikiwa imefungwa au inashinda basi yeye Hasheem anakuja kucheza dakika ama sekunde za mwisho ili tu achangamshe damu kwani hana any impact kwenye timu. Ukisema hapa, timu Hasheem inakuja kuongea otherwise na kuita watu haters. Tukubali ukweli jamani. Hivi kwelu utalazimisha Hasheem kuwa mchezaji mzuri wakati kila mtu anajuwa yuko useless? Jiulizeni kwa nini kila timu inamtema baada ya mwaka, je na hizo timu nazo ni haters kumtema Hasheem kila mwaka?
So hakuna mbongo aliye mbele anayewakilisha michezoni?
Mama yake alisema watanzania wamemroga inawezekana kuna ukweli watu wamemuendea kwa babu hili asiwe anawaza mazoezi yeye awaze kuja bongo tu.
How can a Tanzanian be an "All-American"?
An All-American at Connecticut in 2008-09, Thabeet was
That's a shame because the guy had some promise, you don't get drafted second overall behind a player like Blake Griffin and ahead of players like DeMar DeRozan, Jru Holiday, Steph Curry, etc, if you are chump. But unfortunately he didn't fulfil the promise he showed in college. I remember discussing about his performances on here a couple of years ago tukaitwa mahaters. Ajipange upya timu zinatafutaga "big men" all the time maybe he can get a team somewhere where he'll be able to play a role achukue veteran minimum yake atulie zake. Kama vipi atafute opportunities za kibiashara amepata profile ya kutosha kuweza kumboost.
Mama yake alisema watanzania wamemroga inawezekana kuna ukweli watu wamemuendea kwa babu hili asiwe anawaza mazoezi yeye awaze kuja bongo tu.
Statistics zake zinatisha... NI AIBU TUPU.... na yeyote anaye msifia ajichunguze akili... Na watu wanao msifia ndio wanamuharibu Akili Huyo thabeet kwasababu wanamjaza Sifa za kipumbavu na kujiona yupo juu wakati jamaaa anaharibu... Mchaneni Ukweli akaze buti...