God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Huyu kijana kweli ni hatari.Umeona sasa mkuu, ukifuatilia data kwa data Hasheem si mchezo, Crouch 6'7", Ibrahimovic 6'5".
Jamaa ni noma.
Umefanya nicheke mpaka nimepata njaa!!Ni pungufu ya inchi 6 mbele ya Hasheem!!!! Hizo inchi 6 ukimpa Lulu Michael, atakupa chochote utakacho!!!
siyo unaenda bali umri ushaenda. Mimi naona huyu kijana hanaga maono ya mbali au anataka kujiona star kwa sababu ya NBA hata huku bongo tumkubali kumbe wapi sisi tushajua kavurundaBasi atakuwa mjinga manake umri nao unaenda na inafika wakati mtu unatakiwa kusahau mambo ya career na kuangalia maisha. Sasa aking'ang'ania NBA hata NBA isipomtaka, itafika wakati hata value ya ligi zingine hatakuwa nayo. Mbaya zaidi, hadi sasa timu ambazo zilijitokeza kwenda kumcheki ni chache mno manake hata usipopata sign up, lakini zikijitokeza timu nyingi kukufuatilia. angalau inaweza kukupa matumaini kwamba "maybe next time...!"
Hivi mtu uko US, the most and powerful economy nation in the world unaanzaje kushindana na third world folks, si utaahira huu?Very true, mimi baada ya ile interview nilisema jamaa hana akili, na hata alivyokosa namba OKC sikushangaa, yeye alikuwa ni 2nd option center, ila alikuja kunyanganywa na 3rd option center (Steven Adams).
Kama unavyosema jamaa alikimbilia kuwaza kwamba ametupiga bao sisi badala ya kuangalia watu ambao yuko nao kwenye ligi, alilidhika sana baada ya kuona sasa ataheshimika huku Bongo.
Basi atakuwa mjinga manake umri nao unaenda na inafika wakati mtu unatakiwa kusahau mambo ya career na kuangalia maisha. Sasa aking'ang'ania NBA hata NBA isipomtaka, itafika wakati hata value ya ligi zingine hatakuwa nayo. Mbaya zaidi, hadi sasa timu ambazo zilijitokeza kwenda kumcheki ni chache mno manake hata usipopata sign up, lakini zikijitokeza timu nyingi kukufuatilia. angalau inaweza kukupa matumaini kwamba "maybe next time...!"
Angepiga mahesabu ya Kimarekani mbona ingekuwa poa sana kwake manake angejua he needs to work harder ikiwa atataka aishi kama NBA Guy! Lakini ilikuwa akipiga hesabu, anakuta hata aki-save 100 grands na kuja nazo Bongo; anajua kabisa akina TID hawana! Halafu si unajua priorities zetu Wabongo... hapa sipati picha kama Hasheem angekuwa anakusoma hivi sasa! Ndo lazima aapize "huyu witness anajiona bab kubwa sana huyu... nikipata second chance na kurudi Dar, lazima nikamvue kanguo kake ka ndani...!" Yaani Wabongo tukishatoka tu; priorities zetu ni kukomoana... kama kuna gal ulikuwa unaona anajifanya bab kubwa, huyu ndo anakuwa first target!!! Maskini wee, unajua inawezekana ndo ambayo yalimkuta Jokate haya!!!!1.2 USD kwa marekani ni vihela mbuzi / vijisenti! Na ukiweka na gharama za US utaomba poo!
Hiyo hela hakutakiwa kuiconvert kibongo bongo na ndipo alipokosea! Akajiona ana mihela wakati linchi lenyewe lishajifia hili na ni nchi maskini kiasi kwamba 99 ya waamerika hata hawaijui?!!
Kimashindano akaona kipesa anamzidi Domo, kibakuli, na Jide akaona amewin life, badala ashindane na kina Kobe Bryant!
Poor Hasheem!
Hivi mtu uko US, the most and powerful economy nation in the world unaanzaje kushindana na third world folks, si utaahira huu?
Wewe unashindana na watu ambao nyumba na vitz kwao ndo utajiri?
Hasheem ni boyaa!
Ngoja niipitie hii article.Can Hasheem Thabeet Salvage NBA Career? | Basketball Insiders | NBA Rumors And Basketball News
Kwenye hiyo link kuna paragraph hii hapa chini'
“The goal is to make it back to the NBA, so I’ll do whatever it is going to take for me to get accepted by a team,” Thabeet said. “Whatever it takes for me to get back, I’ll do it. The goal is to focus on the NBA right now and I feel I can actually say from my heart that I have worked hard enough this summer to stay over here [rather than go overseas].”
ameshindwa kuwatengenezea wabongo wenzake connection akihofu watamzidi, wenzie wanatoka D-League wanaenda NBA yeye ametoka NBA anaenda D-League
kweli hakuna marefu yasiyo na ncha
Nishatubu Mkuu... tena duh, namuomba Mungu kabisa Lulu asiione post manake anaweza kutenga wiki ya kunilaani!!!Umefanya nicheke mpaka nimepata njaa!!
Chige katubu
Haaaa ahaaaaa haaaa we Chige zihurumie mbavu zangu asee...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angepiga mahesabu ya Kimarekani mbona ingekuwa poa sana kwake manake angejua he needs to work harder ikiwa atataka aishi kama NBA Guy! Lakini ilikuwa akipiga hesabu, anakuta hata aki-save 100 grands na kuja nazo Bongo; anajua kabisa akina TID hawana! Halafu si unajua priorities zetu Wabongo... hapa sipati picha kama Hasheem angekuwa anakusoma hivi sasa! Ndo lazima aapize "huyu witness anajiona bab kubwa sana huyu... nikipata second chance na kurudi Dar, lazima nikamvue kanguo kake ka ndani...!" Yaani Wabongo tukishatoka tu; priorities zetu ni kukomoana... kama kuna gal ulikuwa unaona anajifanya bab kubwa, huyu ndo anakuwa first target!!! Maskini wee, unajua inawezekana ndo ambayo yalimkuta Jokate haya!!!!
Dah... nimeipitia kiundani!! Kwenye article nimemuona Hasheem anayelenga kuwa-prove wrong mahasimu wake kuliko kuangalia what's worth for him!Can Hasheem Thabeet Salvage NBA Career? | Basketball Insiders | NBA Rumors And Basketball News
Kwenye hiyo link kuna paragraph hii hapa chini'
“The goal is to make it back to the NBA, so I’ll do whatever it is going to take for me to get accepted by a team,” Thabeet said. “Whatever it takes for me to get back, I’ll do it. The goal is to focus on the NBA right now and I feel I can actually say from my heart that I have worked hard enough this summer to stay over here [rather than go overseas].”
Dah... nimeipitia kiundani!! Kwenye article nimemuona Hasheem anayelenga kuwa-prove wrong mahasimu wake kuliko kuangalia what's worth for him!
Mie nampa hadi 2017 playoff rosters... ikimpita na hii, ama aende kwenye foreign league au asahau kabisa! Na hata hiyo playoff roster, inabid aanze kuisaka kwa hii miezi 6 iliyobaki... aki-relax tu, imekula kwake!!!Haaaa ahaaaaa haaaa we Chige zihurumie mbavu zangu asee...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amvue nani nguo ya ndani huyo, mwenyewe kaishachanganyikwa! We mtu anakwambia mi mpaka nirudi NBA, sitoki nje ya marekani wakati uwezekano haupo? Si kaishadata na 1.2USD![emoji12] [emoji12]
Na anaingia 30 keshokutwa...akilala anaota NBA tuu
haaa wewe bibi huku pia upo? we noma
By the way hongera leo kwa kutoa post nzuri na ubarikiwe nakushauri usiwe unatoa maneno machafu kama kule kwenye ile thread
Inshallah..utani pembeni tumuombee asijibweteke tena, apeperushe Bendera yetuMie nampa hadi 2017 playoff rosters... ikimpita na hii, ama aende kwenye foreign league au asahau kabisa! Na hata hiyo playoff roster, inabid aanze kuisaka kwa hii miezi 6 iliyobaki... aki-relax tu, imekula kwake!!!
Kwanza ingawaje LA Lakers hii sio ile ya miaka 5 iliyopita lakini bado it's too tough kwa Hasheem! Hapo mimi nilikuwa naiangalia sana Wizards...! Timu ambazo zimejitokeza kum-study ni mchache mno no wonder hakupata nafasi! Na kiukweli ikimpita hadi 2017 playoff roster; itabidi tu akubali kuangalia ustaarabu mwingine.Yaani inasikitisha, ukiisoma nukta kwa nukta ni kama hata hao wanaofanyia mazoezi hawana uhakika na hiyo project ya Come Back.
Imagine, Lakers, Wizard na Knicks hakuna aliyerudi tena, na hizi ni timu ambazo kiuhalisia Hasheem angefit kama kweli ame-improve. Kwa maneno mengine ni kwamba hawajaona kitu kipya, wamemwona ni Hasheem yule yule.
Haahaaa... nakusoma vizuri sana na ninajua ungetamani kuona anapata second! Akipata, nitatumia njia yoyote hadi niwasiliane nae ili nimwambie asikuweke kwenye discplining roster ya waibebez wa mjini!!Inshallah..utani pembeni tumuombee asijibweteke tena, apeperushe Bendera yetu
Keep up Hasheem!
Kwanza ingawaje LA Lakers hii sio ile ya miaka 5 iliyopita bado it's too tough kwa Hasheem! Hapo mimi nilikuwa naiangalia sana Wizards...! Timu ambazo zimejitokeza kum-study ni mchache mno no wonder hakupata nafasi! Na kiukweli ikimpita hadi 2017 playoff roster; itabidi tu akubali kuangalia ustaarabu mwingine.