Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Dah! Sikupata fursa ya kuisikia hiyo interview... ni very stupid response! Ndo matatizo ya unaanza kuangalia hadi mwisho wa mwaka unakuwa na kiasi fulani; halafu unaanza kuhesabu washikaji wa Sinza na Kinondoni kuangalia ni nani anaweza kuwa na kiasi kama hicho! Yaani ki ukweli ndo vile tunalazimika kumuombea Mungu lakini Hasheem alijisahau sana! Huku kushituka alikoshituka sasa angefanya mara baada ya kutoka Memphis Grizzlies; hivi sasa jamaa ingekuwa kesharudi NBA! Kwanza body yake ni mtaji mzuri sana lakini alipoharibu ni pale alipodhani body peke yake ingetosha kumweka NBA!
Very true, mimi baada ya ile interview nilisema jamaa hana akili, na hata alivyokosa namba OKC sikushangaa, yeye alikuwa ni 2nd option center, ila alikuja kunyanganywa na 3rd option center (Steven Adams).
Kama unavyosema jamaa alikimbilia kuwaza kwamba ametupiga bao sisi badala ya kuangalia watu ambao yuko nao kwenye ligi, alilidhika sana baada ya kuona sasa ataheshimika huku Bongo.