Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Dah! Sikupata fursa ya kuisikia hiyo interview... ni very stupid response! Ndo matatizo ya unaanza kuangalia hadi mwisho wa mwaka unakuwa na kiasi fulani; halafu unaanza kuhesabu washikaji wa Sinza na Kinondoni kuangalia ni nani anaweza kuwa na kiasi kama hicho! Yaani ki ukweli ndo vile tunalazimika kumuombea Mungu lakini Hasheem alijisahau sana! Huku kushituka alikoshituka sasa angefanya mara baada ya kutoka Memphis Grizzlies; hivi sasa jamaa ingekuwa kesharudi NBA! Kwanza body yake ni mtaji mzuri sana lakini alipoharibu ni pale alipodhani body peke yake ingetosha kumweka NBA!

Very true, mimi baada ya ile interview nilisema jamaa hana akili, na hata alivyokosa namba OKC sikushangaa, yeye alikuwa ni 2nd option center, ila alikuja kunyanganywa na 3rd option center (Steven Adams).

Kama unavyosema jamaa alikimbilia kuwaza kwamba ametupiga bao sisi badala ya kuangalia watu ambao yuko nao kwenye ligi, alilidhika sana baada ya kuona sasa ataheshimika huku Bongo.
 
Umeona eeh, Shaq ana 7'1" wakati Hasheem ana 7'3", unaweza kuona ni kwa kiasi gani Hasheem ni tall, maana ukimwangalia Shaq kwenye TV kwenyewe hatoshi.
Hahahaa!! Lakini kweli aisee, Shaq hatoshi kabisa kwenye TV!!!!
 
Tunamuombe kila la kheri kijana wetu.

Alipofika kwa Mtanzania si pabaya na hakuna Mtanzania wa kabla yake aliyewahi kufika hapo. Kwa kiwango cha NBA kwa basketball hakuna hata Mtanzania aliyewahi kufanya hivyo kwenye football.

Anastahili pongezi nyingi sana na kwa kuwa bado ni kijana mdogo tumuombee arudi kwenye viwango vinavyohitajika NBA. Inawezekana.
 
Nakumbuka kuna interview alifanya Jahazi na kina Kibonde baada ta kuacha Portland Trail Blazers na kuchukuliwa na kina OKC, akaulizwa kwa nini timu zinamwacha, haoni kama kuna umuhimu wa kufanya jitihada zaidi ili aweze kudumu na timu kwa muda mrefu, yeye aliwajibu akisema hajali sana as long as mshiko unabaki ni ule ule (kwenye ule mkataba alikua na USD 1.2 m kwa mwaka na alikuwa amebakiza misimu 3 au 2 sikumbuki vizuri).

Sasa kwa mentality ile ilikuwa ni lazima haya yamkute, alichokuwa anajali ni pesa na kutumia, hope unajua skendo zake za hapa TZ, na kule majuu nako inasemekana ana watoto wanne au zaidi kwa mama tofauti tofauti.
Ngongoti kazaa hadi na matapeli wa dunia hapana chezea!
 
Na ndio maana mwisho nikatoa ushauri si vibaya akitupa jicho kwenye league zingine... ninachopenda mimi ni determination yake ya kutaka kurudi NBA... hii determination ndiyo itakayomwezesha kuwa bado active na kumwea rahisi hata akitaka kwenda kwenye ligi zingine! But all in all, hakuna kinachoshindikana... ni ngumu kupata second chance lakini wapo wanaopata!

Ukiisoma article yote juu ya kutaka kurudi kwenye game kuna mahali yeye mwenyewe anasema hataki kwenda ligi nyingine zaidi ya NBA, hii ego inaweza kumcost in a sense kwamba NBA timu zisimwite na wakati huo huo umri unaenda na huko ligi za nje zimkache pia.
 
Tunamuombe kila la kheri kijana wetu.

Alipofika kwa Mtanzania si pabaya na hakuna Mtanzania wa kabla yake aliyewahi kufika hapo. Kwa kiwango cha NBA kwa basketball hakuna hata Mtanzania aliyewahi kufanya hivyo kwenye football.

Anastahili pongezi nyingi sana na kwa kuwa bado ni kijana mdogo tumuombee arudi kwenye viwango vinavyohitajika NBA. Inawezekana.
haaa wewe bibi huku pia upo? we noma
By the way hongera leo kwa kutoa post nzuri na ubarikiwe nakushauri usiwe unatoa maneno machafu kama kule kwenye ile thread
 
Hii post nilichelewa kuiona! Bila shaka uliiandika kabla sijakupa lile jibu kwahiyo nadhani jibu lishapatikana; au sio?
Yap mkuu.. Tuendelee kumsii akaze. Kuna timu zitahitaji huduma yake kwenye play offs
 
Duh! Kwa 2011, ni umri ambao Hasheem anaukaribia na mshikaji ndo kwanza ana-fight for second chance! Tuna safari ndefu aisee!!!
Injury ndo zilimfanya jamaa atulie pembeni ila umri bado ulikua una ruhusu yan for 15 years aliyokaa NBA alifanya mengi n aliacha jina kubwa xna pale Houston rockets mpaka saiv akina James harden wanakuja kutembelea nyota yake
 
kwa tunaofatilia basketball kwa ujumla kuanzia college ball ya usa.. ueroleague na nba tunajua ukweli...

kupata chance ya kucheza nba kwa mara ya pili ni ngumu sana na sana...

maana kila mwaka kuna wachezaji kibao wanaisaka hiyo chance...

nba rules kila timu haitakiwi kuwa na wachezaji wanaozidi 15,, na nba ina team 30... so total.nba players per year ni 450 tu...

sasa kuna wachezaji maelfu na maelfu kuanzia usa kwenyewe na duniani kote wanagombea chance kila mwaka...

ni rahisi sana kutokea euroleague na kuingia nba kuliko kutokea d league kuingia nba
Mungu wangu! Kwa hiyo Hasheem ndo nitoleee?

Sio siri mkuu maneno yako yamenivunja moyo!

Hivi Tanzania nani katulogaa??
 
Mungu akimchukua jeneza lake litakua balaaa unajua crouch nlikua namuona tall kumbe akija huku NBA ni kashotii tuu sababu ana 6.7
Ni pungufu ya inchi 6 mbele ya Hasheem!!!! Hizo inchi 6 ukimpa Lulu Michael, atakupa chochote utakacho!!!
 
Injury ndo zilimfanya jamaa atulie pembeni ila umri bado ulikua una ruhusu yan for 15 years aliyokaa NBA alifanya mengi n aliacha jina kubwa xna pale Houston rockets mpaka saiv akina James harden wanakuja kutembelea nyota yake
Na kwa physique ya Yao, hata kwa 35 bado angeendelea kuwa fit.
 
Mungu akimchukua jeneza lake litakua balaaa unajua crouch nlikua namuona tall kumbe akija huku NBA ni kashotii tuu sababu ana 6.7

Umeona sasa mkuu, ukifuatilia data kwa data Hasheem si mchezo, Crouch 6'7", Ibrahimovic 6'5".

Jamaa ni noma.
 
Dah! Sikupata fursa ya kuisikia hiyo interview... ni very stupid response! Ndo matatizo ya unaanza kuangalia hadi mwisho wa mwaka unakuwa na mpunga kiasi gani; halafu unaanza kuhesabu washikaji wa Sinza na Kinondoni kuangalia ni nani anaweza kuwa na kiasi kama hicho! Yaani ki ukweli ndo vile tunalazimika kumuombea Mungu lakini Hasheem alijisahau sana! Huku kushituka alikoshituka sasa angefanya mara baada ya kutoka Memphis Grizzlies; hivi sasa jamaa ingekuwa kesharudi NBA! Kwanza body yake ni mtaji mzuri sana lakini alipoharibu ni pale alipodhani body peke yake ingetosha kumweka NBA!
1.2 USD kwa marekani ni vihela mbuzi / vijisenti! Na ukiweka na gharama za US utaomba poo!

Hiyo hela hakutakiwa kuiconvert kibongo bongo na ndipo alipokosea! Akajiona ana mihela wakati linchi lenyewe lishajifia hili na ni nchi maskini kiasi kwamba 99% ya waamerika hata hawaijui?!!

Kimashindano akaona kipesa anamzidi Domo, kibakuli, na Jide akaona amewin life, badala ashindane na kina Kobe Bryant!

Poor Hasheem!
 
Ukiisoma article yote juu ya kutaka kurudi kwenye game kuna mahali yeye mwenyewe anasema hataki kwenda ligi nyingine zaidi ya NBA, hii ego inaweza kumcost in a sense kwamba NBA timu zisimwite na wakati huo huo umri unaenda na huko ligi za nje zimkache pia.
Basi atakuwa mjinga manake umri nao unaenda na inafika wakati mtu unatakiwa kusahau mambo ya career na kuangalia maisha. Sasa aking'ang'ania NBA hata NBA isipomtaka, itafika wakati hata value ya ligi zingine hatakuwa nayo. Mbaya zaidi, hadi sasa timu ambazo zilijitokeza kwenda kumcheki ni chache mno manake hata usipopata sign up, lakini zikijitokeza timu nyingi kukufuatilia. angalau inaweza kukupa matumaini kwamba "maybe next time...!"
 
Back
Top Bottom