God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Huyu kijana kweli ni hatari.Umeona sasa mkuu, ukifuatilia data kwa data Hasheem si mchezo, Crouch 6'7", Ibrahimovic 6'5".
Jamaa ni noma.
Vipi wazazi wake lakini? nilitaka kujua urefu wao na wao pia