Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Ila jamaa lina sifa..siku Niko bills kaja na group lake anataka kila demu amshobokee

Nikasema cha! Kwa kipi au huo ulingoti?

Ila namuombea arudi NBA maskini, keshajifunza!
 
Mungu amsaidie akaze mazoez arud NBA roho mbaya haijengi.... Tumtakie mema tu
 
Ila jamaa lina sifa..siku Niko bills kaja na group lake anataka kila demu amshobokee

Nikasema cha! Kwa kipi au huo ulingoti?

Ila namuombea arudi NBA maskini, keshajifunza!
Witness bhana, hizo ni mbwembwe tu za kistaa, zisukupe shida! Majority ya clubbing stars ndo zao hizo... wakifika lazima wahakikishe kila mmoja anafahamu kwamba fulani kafika kwahiyo has nothing to do with Hasheem solely!! Usiniambie hujawahi kugongana na Wema mahali....
 
Ila namuombea arudi NBA maskini, keshajifunza!
Kuhusu kujifunza, you're right... kajifunza sana hasa ktk kujifua! Lakini Wabongo tunasahau jambo moja... tunadhani failure ya Hasheem ni ya ujinga wake kwa 100% huku tukisahau jamaa ameanza kucheza basketball wakati ameshakuwa mzee (15 years)! Miaka 7 baadae akaingia kwenye tough basketball league kabla mwili haujazoea mikikimikii! Hii miaka 7 iliyomfikisha NBA kwa USA ni ile ambayo watoto wanaota iwafikishe kwenye college league. Mbaya zaidi, hakupata nafasi ya kuizoea mikiki mikiki ya NBA manake alishindwa kuonesha makucha yake mapema hali iliyomfanya awe anahama timu moja baada ya nyingine hata kabla hajazoea mazingira!
 
Huyo Wema kila siku napishana nae akija pale kwa mama ake maeda...nikupe tu siri moja sishobokei vi star uchwara especially vya hapa bongo!

Kwanza shule ndogo, hawajitambui, ni maskini, yaani hata future yao hawaijui asa hapo ntashoboka na nini labda kwa mfano?

Kwa Hasheem nilitegemea kaishapata exposure ya kutosha so asingekuwa limbukeni! Kumbe yale Yale tu.

Bongo hakuna star!
 
Ni kweli Chige the way ulivyo analyse but, nahisi kilichomkwamisha zaidi ni pale wenzake akina Le bron wanapiga tizi la kufa mtu , yy anawaza atapata chance muda gani aje bongo kutuchapa bakora!

Hizo safari zake huku zimemcost na atakuwa anajuta now
 
Dah! Ushaweka na umaskini tena manake ningekuambia nishobokee mimi basi!!! Anyway, unafikiri issue ni kwamba wewe kushoboka basi... tatizo ni kale katabia kao ka ku-force public attention; na haka katabia kapo kokote utakoenda!! Good kwamba hushoboki, lakini kwa wasichana wengi ni full shobo na ndio maana huwa wanapata kiburi cha kudhani kila mtu anawashobokea! Tena ukiwapotezea huwa wana-mind kishenzi! But usisahau Witty, hata Bush nako kuna mastaa....
 
Anatakiwa kufanya mazoezi zaidi, kwani wao waweze wana nini hata yeye ashindwe ana nini
 
Teh teh...umenichekesha eti bush pia kuna star halafu kweli![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni kweli Chige the way ulivyo analyse but, nahisi kilichomkwamisha zaidi ni pale wenzake akina Le bron wanapiga tizi la kufa mtu , yy anawaza atapata chance muda gani aje bongo kutuchapa bakora!

Hizo safari zake huku zimemcost na atakuwa anajuta now
Hahahaa! Kuhusu tizi, hilo ndo kosa kubwa alilofanya... Kwa body la Hasheem, lilitakiwa kupata mikiki mikiki tangia akiwa mdogo ili mwili uzoee!! Sasa kwavile alichelewa kuupa mwili dozi, ni kweli alitakiwa awe extra miles kwa tizi la kufa mtu ukilinganisha na wenzake! Hasheem ana body na ndiyo ilikuwa inampa kiburi akasahau NBA ni zaidi ya body, physique ni muhimu sana kwa sababu players wapo very energetic. Hii training anayoipata sasa wakati keshakuwa mzee alitakiwa kuifanya wakati ule... at least soon baada ya kuvurunda Memphis Grizzlies!
 
Anatakiwa kufanya mazoezi zaidi, kwani wao waweze wana nini hata yeye ashindwe ana nini
Ukiona mtu anadumu kwa Frank Matrisciano basi ni dalili tosha kwamba kwa sasa anapiga tizi la kufa mtu! Tatizo ninaloliona kwake ni umri unamtupa mkono... soon anafunga 30. In 30 unatakiwa uwe tayari ume-stablish career wakati yeye ndo anasaka ku-establish career.
 
Teh...alidhani ule utwiga wake akinyoosha mkono tu ball inaingia kwenye kikapu! Hata bila special training...

Hasheem bana!
 
ameshindwa kuwatengenezea wabongo wenzake connection akihofu watamzidi, wenzie wanatoka D-League wanaenda NBA yeye ametoka NBA anaenda D-League
kweli hakuna marefu yasiyo na ncha

Wabongo tunafikiri kila kitu ni connections! Sasa connection ya kucheza NBA unamtengenezeaje mtu? Yeye alitengenezewa na nani? You have to work out really hard to even get a chance ya kuwa kwenye radar ya NBA teams mkuu.

Hakuna kushikana mikono.
 
Huyu jamaa ana maringo sana

Siwezi kuombea mtu kama huyo hata siku moja nba lazma atupwe nje no way out!!

Kama unamjua personally, utakuwa na point, otherwise utakuwa unatumia 1% kufukiri.

Huwezi kusema mtu ana tabia fulani kupitia mitandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…